Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hajachaguliwa na WaTZ, hatutaki kuchagua viongozi wa kike!
Yupo hapo mpaka 2030, lets see..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajachaguliwa na WaTZ, hatutaki kuchagua viongozi wa kike!
Okay let's see! Kwenye chama chake kuna mpasuko mkubwa mno. Hiyo ni shida tayari, pia mbona 2030 sio mbali??Yupo hapo mpaka 2030, lets see..
2030 sio mbali na tuko 2021 hahaaaaa mkuu una utani, sidhani kama waliompigia na kumpa nguvu ndani ya chama chake watamgeuka,na kama kuna mpasuko she still got time to amend things,ubaya anajiamini..hicho ndio kinachowafanya muweweseke, tumekaa na marais wanaume wanakaa term mbili tongea uhuru, leo mwanamke akitaka kukaa urais kipindi kingine imekua tabu??!!Okay let's see! Kwenye chama chake kuna mpasuko mkubwa mno. Hiyo ni shida tayari, pia mbona 2030 sio mbali??
Hakuna aliyempigia, ni katiba imemuweka hapo, kifupi hajachaguliwa na Watanzania.2030 sio mbali na tuko 2021 hahaaaaa mkuu una utani, sidhani kama waliompigia na kumpa nguvu ndani ya chama chake watamgeuka,na kama kuna mpasuko she still got time to amend things,ubaya anajiamini..hicho ndio kinachowafanya muweweseke, tumekaa na marais wanaume wanakaa term mbili tongea uhuru, leo mwanamke akitaka kukaa urais kipindi kingine imekua tabu??!!
Sio tabu, hatutaki jinsia tunataka maendeleo yaonekane. Jinsia haituhusu ni yake. Hivi wewe ni kipofu? Mbali na JK na wachache wengine, fanya tathmini ndogo utaona huyu Hangaya alivyokuwa rejected, kuanzia ndani ya chama na nje ya chama. Kifupi hapendwi, sio wanawake wala wanaume, wote hawampendi.2030 sio mbali na tuko 2021 hahaaaaa mkuu una utani, sidhani kama waliompigia na kumpa nguvu ndani ya chama chake watamgeuka,na kama kuna mpasuko she still got time to amend things,ubaya anajiamini..hicho ndio kinachowafanya muweweseke, tumekaa na marais wanaume wanakaa term mbili tongea uhuru, leo mwanamke akitaka kukaa urais kipindi kingine imekua tabu??!!
Whatever means alizotumia kufika hapo anajua atatumia nini kuwa Rais, Kama ni kura mwacheni agombee wananchi ndio wataamua, nyie shida yenu nini????..mtu apimwe kwa perfomance yake sio kisa mwanamke au mwanaume..kwa kifupi hamna hoja!Hakuna aliyempigia, ni katiba imemuweka hapo, kifupi hajachaguliwa na Watanzania.
Sio tabu, hatutaki jinsia tunataka maendeleo yaonekane. Jinsia haituhusu ni yake. Hivi wewe ni kipofu? Mbali na JK na wachache wengine, fanya tathmini ndogo utaona huyu Hangaya alivyokuwa rejected, kuanzia ndani ya chama na nje ya chama. Kifupi hapendwi, sio wanawake wala wanaume, wote hawampendi.
Usiseme 'nyie', hata sisi ni wananchi. Hakuna anayebeza jinsia, tunataka maendeleo hatutaki jinsia, jinsia inatuhusu nini sasa? Ingia fb, tweeter, IG na kote utaona jinsi ambavyo hapendwi. Kama haitoshi pita hata mitaani fanya research ndogo utagundua hapendwi, yaani nyota hana ni kama inafifia mno.Whatever means alizotumia kufika hapo anajua atatumia nini kuwa Rais, Kama ni kura mwacheni agombee wananchi ndio wataamua, nyie shida yenu nini????..mtu apimwe kwa perfomance yake sio kisa mwanamke au mwanaume..kwa kifupi hamna hoja!
Ni kweli ana haki, evidence ni hii. Ingia fb, mtandao wenye watu wengi mno ikiwemo Watanzania wengi. Halafu fuatilia post zinazomhusu mama, angalia comments utajua hapendwi. Ukitoka hapo nenda hata tweeter! Mambo si mambo, kikubwa abadili mfumo huu tu, ana nafasi ya kujirekebisha. Namtakia mema pia, ila hali ikiendelea hivi, She is done!Leta evidence she is rejected material?? anyway na hii rejection kama ipo ina matter?? whether you like her not she is there to stay....tena ana haki ya kugombea kama mtanzania mwingine yeyote
Yes si kosa hata kidogo, ila hali ikiendelea kuwa mbaya hivi She is done!Mama amejua kuzichanga karata vyema....
Hana maana kuwa amewatenga WANAUME...
Akina mama ndio wapiga kura....
Isisahaulike mh.Rais analenga "women empowerment"....na si kosa.....
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaamin [emoji120]
Usiseme 'nyie', hata sisi ni wananchi. Hakuna anayebeza jinsia, tunataka maendeleo hatutaki jinsia, jinsia inatuhusu nini sasa? Ingia fb, tweeter, IG na kote utaona jinsi ambavyo hapendwi. Kama haitoshi pita hata mitaani fanya research ndogo utagundua hapendwi, yaani nyota hana ni kama inafifia mno.
Ni kweli ana haki, evidence ni hii. Ingia fb, mtandao wenye watu wengi mno ikiwemo Watanzania wengi. Halafu fuatilia post zinazomhusu mama, angalia comments utajua hapendwi. Ukitoka hapo nenda hata tweeter! Mambo si mambo, kikubwa abadili mfumo huu tu, ana nafasi ya kujirekebisha. Namtakia mema pia, ila hali ikiendelea hivi, She is done!
Sasa kwa taarifa yako, research yangu local tu vijijini na hapendwi sasa, ukiona mpaka wanawake wenzake wanamchukia hii ni shida!Wait until she is done ndio upige kelele,kwa sasa hivi tulia tu huna cha kufanya, and second huku twitani na ulimwengu wa watanzania ONLINE is just a fraction ya watanzania wote, wengi hawapigagi kura, nenda huko vijijini ufanye analysis yako uone mama ana nguvu gani!
Nguvu anayo ila bado ni dhaifu, kwa ushahidi niliokupa.Wait until she is done ndio upige kelele,kwa sasa hivi tulia tu huna cha kufanya, and second huku twitani na ulimwengu wa watanzania ONLINE is just a fraction ya watanzania wote, wengi hawapigagi kura, nenda huko vijijini ufanye analysis yako uone mama ana nguvu gani!
Sina chuki na yeyote, kwa hiyo mtu ukikosoa ni chuki? Nimeshasema kuwa asilete ujinsia, ni sumu. Yeye anataka agombee kwa kigezo cha jinsia. Kumbe wewe ndio huelewi unacho-comment! Yaani unajikanyaga.Eti hakuna anayebeza jinsia, sijui kama hata unaelewa una comment kwenye thread gani?, pili sijaelewa tatizo lako ni nini kama hapendwi, anapendwa wache watanzania wachague, sipitagi huko twitani,ila mtaani hapa kwetu sijaona mwenye matatizo na mama,pole na chuki zako
Sasa kwa taarifa yako, research yangu local tu vijijini na hapendwi sasa, ukiona mpaka wanawake wenzake wanamchukia hii ni shida!
Kule kwao iko wazi kabisa kuwa asingeweza kupenya kuwa Raishivi huko CCM bado kuna wanaume kweli??
Sio lazima nifanye mimi, vipi kama nikiwaweka watu? Unaelewa maana ya utafiti? Kwa hiyo ndio hivyo, akiendela hivi atajijengea maadui hata kwenye chama chake na hatotoboa. Akibadilika atatoboa. Tunawekana sawa tu hakuna mwenye chuki.hahaaaa sikuamini umefanya research yako vijijini,acha uongo mkuu.....hahaaaaaaaaaaaaaaaaa bye