ndani ya miezi 6 tu CCM imekua na u-mama mwingi mnoo
Ni kawaida ya wanawakeHuyo mama hajiamini
Mkuu kwenye kulinda ugali utamnyenyekea hadi mtoto wa miaka 5 kisa ni mtoto wa bosi......Halafu myanaume ya CCM bana sijui ikoje au ni sio ridhiki. Mwanamke anatamba kabisa eti uchaguzi ujao wanaume hawana Chao huko CCM halafu yenyewe yanang'aza sharubu tuu yamefyata makasesera yao Kama mazuzu
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app