Ni suala la muda tu Sadio Mane hawezi kubaki Bayern Munich miguu yake imeisha nguvu na kasi

Ni suala la muda tu Sadio Mane hawezi kubaki Bayern Munich miguu yake imeisha nguvu na kasi

Ni kweli mkuu inawezekana wanacheza na namba za umri

Na ukichangia na ile gengen press ya liverpool inawezekana umewahi kumchosha
Hata waafrica waliozaliwa ulaya ambao hawajadanganya umri wakifika 30 soka la ushindan linawashinda tofauti na ngozi nyeupe wanasogeaga mpka 35
 
Msimu wa Mwisho liverpool,mane alikuwa kaanza kuchoka
Kabla ya kupata majeruhi alikuwa vizur sana hapo Bayern na msimu wa mwisho akiwa liverpool ndo moja ya misimu bora kwa Mane , ni majeruhi tuu na kwa mfumo wa tuchel lazima ashine , before kila mmoja alikuwa anagombania goal ilikuwa vurugu full disorganized
 
Sadio Mane alikua majeruhi though toka ameenda Bayern hajawa na form nzuri ila muda bado wa kum write off. Jamaa chini ya Tuchel utaona atakavyo shine ni swala la muda tu
 
Mane katoka majeruhi tena makubwa hawezi kuwa Bora kwa haraka ,umesema amemgharimu kocha mi sidhani maana mane akiwa majeruhi kocha aliendelea kufanya vibaya na uwepo wa Tuchel ilikuwa lazima Bayern wamuwahi.
 
Back
Top Bottom