Huo ni upotoshaji dhehebu maana yake tawi katika dini fulani kwa mfano katika dini ya wakristo imegawanyika katika madhehebu mbalimbali walutheri wakatoliki walokole n.k“dhehebu,” kikundi cha watu ambacho kinamwabudu Shetani, chatoa dhabihu ya wanyama, au kushiriki katika maovu, vioja, na tamaduni za giza.
Huo ni upotoshaji dhehebu maana yake tawi katika dini fulani kwa mfano katika dini ya wakristo imegawanyika katika madhehebu mbalimbali walutheri wakatoliki walokole n.k
Sio sahihi ila kwasababu ya kihistoria na mabadiliko pamoja na ushawishi wa shetani kujiingiza katika imani ndipo mgawanyiko unatokea kwa mfano mgawanyiko wa Roman Catholics kuzalisha madhehebu mengineyo mbalimbali kwa mfano anglican sababu uingereza haikutaka kuwa chini ya pope lakin vilevile Lutheran ni kutokana na 99 question alizohoji Martin Luther katika imani ikiwemo suala la kutoa pesa ili kusamehewa dhambi (kipindi hiko)Iv n sahih Mkuu kugawanyika ktk dini moja?
Hio picha yako unamaanisha unaabudu dini hiyo au upagani [emoji780] [emoji780]
Tetea basi hoja yako na pia nitetee hoja yangu kuunganisha na uliyoyasema tuchimbue kwa kinaOut of topic.
Ni ndani ya topic pia je hilo ni dhehebu au laa je usahihi wake upo wapi wanamuabudu nani wanafanyaje ibada n.kOut of topic.
Tetea basi hoja yako na pia nitetee hoja yangu kuunganisha na uliyoyasema tuchimbue kwa kina
Ni ndani ya topic pia je hilo ni dhehebu au laa je usahihi wake upo wapi wanamuabudu nani wanafanyaje ibada n.k
Nieleweshe basi [emoji4] bw paganI wish you could understand.
Nieleweshe basi [emoji4] bw pagan
Mbona nduki au dhehebu lenu mnaabudu shetaniI wish you could understand.
Je wapagani wanamuabudu naniSina dhehebu bro!
Swali la kizushiPAGAN ni jina walilopewa watu waoujua ukweli since the begining the thing you believe in
now. Maisha ya hao watu yalikuwa magumu sana kwasabababu kipindi hicho ukijua ukweli maana yake utauwawa hadhrani. Dini na madhehebu ni magirini yaliyolazimshwa na watu wenye akili kwa maslahi yao.
Je wapagani wanamuabudu nani
Je wapagani wanamuabudu nani
Swali la kizushi
Kuna mahusiano yyte ya picha yako hapo dp na upagani....
Au hio picha ina maana gani