Ni swali dogo sana lakini linauzima na Mauti ndan yake.

Ni swali dogo sana lakini linauzima na Mauti ndan yake.

Madhehebu (elekezo toka kwa Dhehebu)
Madhehebu (kutoka Kar. ﻣﺬﻫﺐ madhhab) ni mafundisho, maadili na matendo ya ibada yaliyo ya msingi katika dini fulani. Hutumiwa pia kutaja makundi

Kwa hisani ya Wikipedia
 
“dhehebu,” kikundi cha watu ambacho kinamwabudu Shetani, chatoa dhabihu ya wanyama, au kushiriki katika maovu, vioja, na tamaduni za giza.
 
“dhehebu,” kikundi cha watu ambacho kinamwabudu Shetani, chatoa dhabihu ya wanyama, au kushiriki katika maovu, vioja, na tamaduni za giza.
Huo ni upotoshaji dhehebu maana yake tawi katika dini fulani kwa mfano katika dini ya wakristo imegawanyika katika madhehebu mbalimbali walutheri wakatoliki walokole n.k
 
Huo ni upotoshaji dhehebu maana yake tawi katika dini fulani kwa mfano katika dini ya wakristo imegawanyika katika madhehebu mbalimbali walutheri wakatoliki walokole n.k
Iv n sahih Mkuu kugawanyika ktk dini moja?
 
Huo ni upotoshaji dhehebu maana yake tawi katika dini fulani kwa mfano katika dini ya wakristo imegawanyika katika madhehebu mbalimbali walutheri wakatoliki walokole n.k

Usije kichwa kichwa bro kama unajua hizi mambo. Ask yourself, why I call myself PAGAN?
 
Iv n sahih Mkuu kugawanyika ktk dini moja?
Sio sahihi ila kwasababu ya kihistoria na mabadiliko pamoja na ushawishi wa shetani kujiingiza katika imani ndipo mgawanyiko unatokea kwa mfano mgawanyiko wa Roman Catholics kuzalisha madhehebu mengineyo mbalimbali kwa mfano anglican sababu uingereza haikutaka kuwa chini ya pope lakin vilevile Lutheran ni kutokana na 99 question alizohoji Martin Luther katika imani ikiwemo suala la kutoa pesa ili kusamehewa dhambi (kipindi hiko)

Katika kumtafuta MUNGU ndipo unapotokea mgawanyiko wa madhehebu katika dini ya aina moja kuna taratibu zinazofanya kuwepo na utofauti huu ambao ni madhehebu hii ni kwa wakristo ambako nina uelewa nako sana

Hata upande wa waislamu kuna kuna madhehebu kama shia, sunni, hamadiya, mujahdeen nakadhalika
 
Nieleweshe basi [emoji4] bw pagan

PAGAN ni jina walilopewa watu waoujua ukweli since the begining the thing you believe in
now. Maisha ya hao watu yalikuwa magumu sana kwasabababu kipindi hicho ukijua ukweli maana yake utauwawa hadhrani. Dini na madhehebu ni magirini yaliyolazimshwa na watu wenye akili kwa maslahi yao.
 
Swali la kizushi
Kuna mahusiano yyte ya picha yako hapo dp na upagani....
Au hio picha ina maana gani
 
Je wapagani wanamuabudu nani

Wapagani hawamuabudu mtu yoyote. Na wala hawana sababu ya kufanya hivyo, kwasababu wanaishi maisha ya yenye ukweli. Uoungo wa vitabu vinavyoitwa takatifu wao hawaamini. Kwasababu maisha yao yamejaa ukweli sio ndoto
 
Je wapagani wanamuabudu nani

Swali la kizushi
Kuna mahusiano yyte ya picha yako hapo dp na upagani....
Au hio picha ina maana gani

Hakuna swali la kizushi ni level of understanding tu. Wapagani hawamwabudu mtu yeyote, wanaheshimu maisha tu.

Picha yangu hapa ndio, ina uhusiano na upana, hizi ni 5 elements ambazo zinafanya maisha yaende. [1] Nchi [2] Maji [3] Moto [4] Hewa [5] Void
 
Back
Top Bottom