Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life has no meaning sometimes kama unakuja duniani kuteseka hivi bora kutozaliwa...sina ata hamu ya kuzaa jaiona shida atakayopata mwanangu cant bear it infront of my eyes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipi sababu lkn mkuu?
Acha tu yaniDah.. imagine maisha haya machungu hivi.. alafu umlete mwanao nae aje ateseke, ahangake shida kibaaaao. Aiseee..
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Life has no meaning sometimes kama unakuja duniani kuteseka hivi bora kutozaliwa...sina ata hamu ya kuzaa jaiona shida atakayopata mwanangu cant bear it infront of my eyes
namba 3 ndo inayonitesaWengi wetu kulingana na imani za dini zetu tunaamini kuwa kuna Peponi/ paradiso/ mbinguni na Jehanamu. Na sifa za mtu kwenda mojawapo ya sehemu hizo zinajulikana, kwa kuwa tumekuwa tunafundishwa na viongozi wetu kupitia vitabu vya dini.
Mimi nafikiri hofu ya kifo inasababishwa na mambo yafutayo:-
1. Maisha ya dhambi. Kwa kuwa tunajua kuwa mtu akifa na dhambi anakwenda Jehanamu, kwenye mateso makali ya kuungua na moto. Sidhani kama mtu anayeishi maisha matakatifu atakuwa na hofu ya kufa kwa kuwa anajua kuwa akifa anakwenda Paradiso au peponi, ambako hakuna dhiki wala mateso.
2. Jambo jingine ni kwamba duniani tumepazoea, mazingira yake tumeyazoea. Sasa kuhama mazingira uliyoyazoea na kwenda kuishi sehemu nyingine ambayo hata hujawahi kufika inaleta hofu. Fikiria hata mazingira ya kawaida unapohama au kuhamishwa kwenda mahali ambapo hujapazoea huwa kuna hofu fulani inaingia- kuhusu huko unakohamia. Unakuwa na mawazo mengi jinsi utakavyoanza maisha mapya ugenini.
3. Vilevile hofu ya kifo inaweza kusababisha na mtu kuwa na mipango na ndoto mbalimbali za kukamilisha hapa duniani, ambayo angependa kuikamilisha kabla ya kufa. Hivyo akifikiria kuwa kifo kinaweza kuzima mipango hiyo- hofu inaingia. Kuna majukumu pia ya kifamilia. Mtu ana watoto wanaomtegemea kwa kila kitu. Hivyo kifo kinampa hofu ya kuwaacha watoto wakiteseka.
Ngoja niishie hapa kwa leo.
Poor mindMaisha ni zawadi kutoka kwa Mungu hivyo unapaswa kumsifu na kumrudishia yeye sifa na utukufu.
Nilijua niko mwenyewe ninayewaza hivi aisee ...bora nisingezaliwa tu
Mi sijui kwakweliKwahiyo Mungu kukuumba wewe unadhani amekosea???!!