Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
yani nyeto na kubet yani dam dam🙂🙂🙂 ukiliwaa unapigaa kimojaa unalalaaaa
Mbona sielewi nini kinajadiliwa?
Wewe uko sawa na mimi, mimi hata kusalimiwa salimiwa sipendi.Kutokusalimia.... Dah! huwa napenda kula buyu tu sema ndo hivyo watu hapendi tabia yangu hiyo
[emoji3064][emoji3064]Napenda kulia..
Nikiwa high...
Nikiwa low...
Ila sipend kuacha...maana nikilia na feel better..
Acha kunisemaKuangalia makalio ya wanawake.
Kwa hakika, hakuna binadamu asifiae uumbaji wa Mungu haswa upande huu wa nyuma kama mimi.
Hata tako liwe dogo namna gani, nitatafuta tu sababu na lenyewe lionekane zuri. Makubwa ndiyo balaa. Utasikia tu moyoni 'Mashallah, ewe Muumba ni fundi kwa hakika'. I must find something positive on the butt!.
Na sitaiacha kamwe.