Ni tabia gani mbaya unayo na unaipenda?

Ni tabia gani mbaya unayo na unaipenda?

Napenda kulia..
Nikiwa high...
Nikiwa low...
Ila sipend kuacha...maana nikilia na feel better..
 
Kuangalia makalio ya wanawake.

Kwa hakika, hakuna binadamu asifiae uumbaji wa Mungu haswa upande huu wa nyuma kama mimi.

Hata tako liwe dogo namna gani, nitatafuta tu sababu na lenyewe lionekane zuri. Makubwa ndiyo balaa. Utasikia tu moyoni 'Mashallah, ewe Muumba ni fundi kwa hakika'. I must find something positive on the butt!.

Na sitaiacha kamwe.
Acha kunisema
 
Back
Top Bottom