Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

Ni tabia gani unatamani usiwe nazo 202?

Kutoka mshahara wote at once na kupeleka ndani.

Kuacha kula bila sababu, imenicost vidonda.

Tofauti na zari la mentali, sitokaa nitongoze mie.
 
Kucheza kamari (kubet)

Kukaba watu

Kutapeli wanaume wa mkoani pale sokoni Karume

Kununua wadada telegram

Kutumia bangi

Kuwasema walokole

Nataka niache kulima cannabis sativa kule mbinga

Kutukana majirani kwa jambo dogo

Kunya kwenye mfuko na kutupa barazan kwako bila kujua kama umenikosea

Kushinda sana vijiweni

Nakuombea ufanikiwe mkuu maana list sio ya nchi hii[emoji38]
 
Kucheza kamari (kubet)

Kukaba watu

Kutapeli wanaume wa mkoani pale sokoni Karume

Kununua wadada telegram

Kutumia bangi

Kuwasema walokole

Nataka niache kulima cannabis sativa kule mbinga

Kutukana majirani kwa jambo dogo

Kunya kwenye mfuko na kutupa barazan kwako bila kujua kama umenikosea

Kushinda sana vijiweni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!
 
Kutoka mshahara wote at once na kupeleka ndani.

Kuacha kula bila sababu, imenicost vidonda.

Tofauti na zari la mentali, sitokaa nitongoze mie.
Nakuombea upone mkuu na pia tafuta dawa inaitwa SEMENTIDIN ni ya vidonda vya tumbo nzuri sana mimi iyo dawa ndo iliniponesha vidonda vya tumbo mwaka huo nikiwa nipo chuo nilikua ninatabia ya kujinyima kula mpaka nikapata alcers majukum yana nafasi yake lakin yasipelekee mpaka ujinyime kula bila sababu ya msingi
 
Rafiki za mke wangu sitaki wanizoee mwka huu 2021, wananitia sana , wanafika kazini peke yao wananikopa ela halafu hawarudishi, naishia kuwabemenda. Mwaka huu wakiendelea nitamwambia wife
 
Kuvuta majani..nataka kuiacha maana inachukua muda mwingi sana ambao ningepumzika au kuekeza kwa afya ya Akili
 
Nakuombea upone mkuu na pia tafuta dawa inaitwa SEMENTIDIN ni ya vidonda vya tumbo nzuri sana mimi iyo dawa ndo iliniponesha vidonda vya tumbo mwaka huo nikiwa nipo chuo nilikua ninatabia ya kujinyima kula mpaka nikapata alcers majukum yana nafasi yake lakin yasipelekee mpaka ujinyime kula bila sababu ya msingi
Shukurani sana Mkuu! Hii dawa naipata maduka yapi, Maduka ya dawa baridi (pharmacy) au Maduka ya dawa Asili?. Tafadhari nipe zaidi mwongozo
 
Sementidin×××

Cimetidine✓✓

Alcers×××

Ulcers✓✓
 
Zinapatikana Pharmacy mkuu
Nenda Pharmacy yoyote utavipata
 
Sementidin×××

Cimetidine✓✓

Alcers×××

Ulcers✓✓
We nae ili mradi mtoa comment kanielewa na hata akienda kuuliza hivyo nilivoandika dawa anapata tu bila shida[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom