Ni tabia zipi za ajabu ulizonazo zinafanya wanawake wakuogope sana?

Mtoa mada umenifurahisha na kunikumbusha miaka ya nyuma kidogo. Kipindi nikiwa advance school.

Nilikua mtu wa kutokuongea na strangers na mkimya kwa muonekano but nikiwa kwa watu wa cycle yangu na vibe vya kutosha, hii ilipelekea baadhi ya wanawake kuniogopa na kuwaambia marafiki zangu kua am too serious.

Nilikuja badilika nilipoenda jkt na unni na kua talkative na mtu wa ku-socilize kinoma, fun enough ni kwamba kipindi hiki ndicho nilichopata mademu wachache kuliko kipindi nilichokua mkimya[emoji41][emoji41].
 
Kwa alivyojieleza tu hapo inatosha kusema sio mcheshi, sio muongeaji sana, hana marafiki wengi.
Ni kweli, hata kama hayo yote ninayo ila sijasema kuwa sipati watoto wazuri. Hakuna ninachokosa.
 
Issue ya watoto wazuri hiyo ni tofauti. Huenda haiba inakubeba, au pesa, au aina ya kazi unazofanya..mambo ni mengi!!
 
Upo sahihi mkuu. Japo nipo hivyo ila nashukuru nina tabia njema.
 
Mtoa mada umenifurahisha na kunikumbusha miaka ya nyuma kidogo. Kipindi nikiwa advance school.

Nilikua mtu wa kutokuongea na strangers na mkimya kwa muonekano but nikiwa kwa watu wa cycle yangu na vibe vya kutosha, hii ilipelekea baadhi ya wanawake kuniogopa na kuwaambia marafiki zangu kua am too serious.

Nilikuja badilika nilipoenda jkt na unni na kua talkative na mtu wa ku-socilize kinoma, fun enough ni kwamba kipindi hiki ndicho nilichopata mademu wachache kuliko kipindi nilichokua mkimya[emoji41][emoji41].
Huko kwenye chombo wengine ndo palitufanya tukazidi kuogopwa zaidi hasa na vi serengeti mpaka homboy ilihali hujawahi kutishia, kupiga, au kufoka na kutoleana lugha mbaya na watu ni lifestyle fulani tofauti Kama anayoisema mwamba hapo inawapa watu maswali mengi mno.
 
Mkuu hata mimi nipo hivyo. Sasa sijui tunatoboaje kwenye suala la kuwapata watoto wakali hapo.
 
Hahaha bila shaka unafahamu kuna watoto wakali tena sana huwa wanakubali sana man zenye mfumo huo isipokuwa muhusika tu tunajikuta kukaza sanaa, japo uigizi ndivyo ulivyo. Ila wanapatikana Sana.
 
Shida ni hawa wa Uswazi mkuu, au wale wa kawaida. Hawatuelewi kabisa yaani!
 
Back
Top Bottom