Satoh uliniita?Nimemuelewa vizuri na huo ni mfano Tu nimejitolea mwenyewe.Kama kuna mtu avatar yake kaweka kikombe shauri take Ila Mimi nimeweka hiyo picha naona km inasadifu Tabia yangu ya ucheshi
Ndy Ila haukutokea Kwa wakati nikasepaπSatoh uliniita?
Aaah nilikuwa barabarani, nikasema nikifika ndiyo nijibu zote kwa utulivuNdy Ila haukutokea Kwa wakati nikasepaπ
Kwa alivyojieleza tu hapo inatosha kusema sio mcheshi, sio muongeaji sana, hana marafiki wengi.Vizuri, ila mtoa mada hajasema kuwa yeye si mcheshi.
Yes!Hiyo 'miziki' mitatu ulimaanisha nyimbo 3?
Ni kweli, hata kama hayo yote ninayo ila sijasema kuwa sipati watoto wazuri. Hakuna ninachokosa.Kwa alivyojieleza tu hapo inatosha kusema sio mcheshi, sio muongeaji sana, hana marafiki wengi.
Issue ya watoto wazuri hiyo ni tofauti. Huenda haiba inakubeba, au pesa, au aina ya kazi unazofanya..mambo ni mengi!!Ni kweli, hata kama hayo yote ninayo ila sijasema kuwa sipati watoto wazuri. Hakuna ninachokosa.
βDonβt care/ dis minder wa nonsense issues!
π« π π Ahsante kwa feedback...βDonβt care/ dis minder wa nonsense issues!
-little mjeuri π π
- nyingine malizia..
Karibu..π« π π Ahsante kwa feedback...
Upo sahihi mkuu. Japo nipo hivyo ila nashukuru nina tabia njema.Issue ya watoto wazuri hiyo ni tofauti. Huenda haiba inakubeba, au pesa, au aina ya kazi unazofanya..mambo ni mengi!!
πππ€£ππ€£Umesahau;
1. Ukiona puru ya Ke wako wakati wa kujamiiana huwa unapoteza kabisa hamu ya kuendelea na hilo zoezi.
2. Ke wako akijamba huwa unamfukuza kabisa kwa kukereka na harufu ya hewa chafu [emoji2960]
Huko kwenye chombo wengine ndo palitufanya tukazidi kuogopwa zaidi hasa na vi serengeti mpaka homboy ilihali hujawahi kutishia, kupiga, au kufoka na kutoleana lugha mbaya na watu ni lifestyle fulani tofauti Kama anayoisema mwamba hapo inawapa watu maswali mengi mno.Mtoa mada umenifurahisha na kunikumbusha miaka ya nyuma kidogo. Kipindi nikiwa advance school.
Nilikua mtu wa kutokuongea na strangers na mkimya kwa muonekano but nikiwa kwa watu wa cycle yangu na vibe vya kutosha, hii ilipelekea baadhi ya wanawake kuniogopa na kuwaambia marafiki zangu kua am too serious.
Nilikuja badilika nilipoenda jkt na unni na kua talkative na mtu wa ku-socilize kinoma, fun enough ni kwamba kipindi hiki ndicho nilichopata mademu wachache kuliko kipindi nilichokua mkimya[emoji41][emoji41].
Mkuu hata mimi nipo hivyo. Sasa sijui tunatoboaje kwenye suala la kuwapata watoto wakali hapo.Huko kwenye chombo wengine ndo palitufanya tukazidi kuogopwa zaidi hasa na vi serengeti mpaka homboy ilihali hujawahi kutishia, kupiga, au kufoka na kutoleana lugha mbaya na watu ni lifestyle fulani tofauti Kama anayoisema mwamba hapo inawapa watu maswali mengi mno.
Hahaha bila shaka unafahamu kuna watoto wakali tena sana huwa wanakubali sana man zenye mfumo huo isipokuwa muhusika tu tunajikuta kukaza sanaa, japo uigizi ndivyo ulivyo. Ila wanapatikana Sana.Mkuu hata mimi nipo hivyo. Sasa sijui tunatoboaje kwenye suala la kuwapata watoto wakali hapo.
Shida ni hawa wa Uswazi mkuu, au wale wa kawaida. Hawatuelewi kabisa yaani!Hahaha bila shaka unafahamu kuna watoto wakali tena sana huwa wanakubali sana man zenye mfumo huo isipokuwa muhusika tu tunajikuta kukaza sanaa, japo uigizi ndivyo ulivyo. Ila wanapatikana Sana.