Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa.
Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani udikteta wa Mbowe kukaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 20.
Ina maana hakuna mtu mwingine mwenye maono au uwezo wa kuwa chairman?
Yeye mwenyewe Mbowe bila aibu kila muda wa uchaguzi anavuta fomu. Akemewe kama atafanya tena awamu hii.
Nina hakika huyu kwa % kadhaa ni pandikizi wa CCM kuhakikisha CCM haiachii ngazi.
Ilikuwaje mtu atoke kwenye chama chake leo kesho ajiunge CHADEMA na kupewa nafasi ya kugombea Urais?
Tena huyo mtu alikuwa mtu wa serikali tangu ujana wake, unamwamini vipi ? Rejeeni tukio la Lowasa 2015.
Lowasa licha ya kuwa PM lakini pia alikula kiapo cha kulinda siri za nchi (nadhani mmenielewa) na Mbowe alijua hilo.
Kama Mbowe ataendelea kuwa chairman basi CCM itaendelea kutawala tu.
We need pure man , pure revolutionist.
Kitengo wana akili sana, wanawaza mpaka kumfunga mtu jela for a moment ili tu kucheza movie, hata vifungo vya Mbowe ni movie tu .