Ni takwimu za kutisha sana katika Mahusiano/Ndoa. Kuna jambo tunapaswa kujifunza tupende tusipende ama sivyo tutaangamia

Moderator
RITA walikanusha hii msg
picha hapa chini inajieleza
Yaweza pandishwa juu kwa manufaa ya wasomaji ili kuepusha upotoshaji
 
Wanaweza kukupinga ila huu ndio ukweli
 
Ttz kubwa wanaume wa sasa tunaoa wanawake tunao wapenda sio wanaotupenda mwanamke akikupenda atavumilia yote
Yah upo sahihi , kiufupi
Wanawake wanaingia kwenye ndoa ili wapate unafuu wa maisha wao binafsi pamoja na familia zao.
Akiolewa anajua ndugu zake watasaidiwa na yeye atapafa unafuu ,
 
🤣🤣🤣🤣Duh nimecheka sn

Spiritual tunaita "soul tie"
Ni sbb mojawapo ya ndoa kuvunjika...

Inaingia kwenye ndoa na Kila uliyelala nae mpk ujue namna ya kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…