Ni TAMISEMI au wapi?

Ni TAMISEMI au wapi?

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Mimi ni mwajiriwa mpya wa ajira za ualimu (Idara ya Sekondari). Hapa tayari nimepata mtu wa kubadilishana nae halmashauri za kufanyia kazi.

Naombeni ushauri wadau, tunapaswa kufanya nini sasa au ni wapi twende. Je ni TAMISEMI au wapi????

Natanguliza shukrani kwa msaada.
 
Back
Top Bottom