Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

Ni Tanzania dhidi ya Morocco 🇲🇦 kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho Wanangu😀

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
TUPE R A HA YANGA

DEHANE WETUUU

KARIBUHUH SANAAA BWM

ULITUKIMBIA UKAENDA AMAN

NW TUNAKUKARIBISHA SANAA

SANAAA
 
Taifa stars tumekwisha! Huyu Dahane anaichukia sana Tanzania na atahaklikisha kuwa Tanzania haishindi mchezo huo. Kungekuwa na uwezekano tungekata rufaa tupewe refa mwingine.
 
TUPE R A HA YANGA DEHANE WETUUU KARIBUHUH SANAAA BWM UKITUKIMBIA UKAENDA AMAN NW TUNAKUKARIBISHA SANAA SANAAA

Mbaya zaidi network haipo hatuwezi kununua tickets. kama Nchi tuwe serious. Tunataka uwanja ujae lakini tunashindwa kuweka utaratibu wa kununua tickets kwa maana kuwa na strong network. Wenzetu Wakenya hakuna usumbufu unanunua tickets bila shida.
 
Slowly Slowly n shida
 
Back
Top Bottom