BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Nchi nyingi nazani zote Mambo ya Vilabu vya mpira sana yako ngazi za vyama vya Soka vya nchi husika ingawa hata vyama vyama vya soka navyo havihangaiki sana na Vilabu bali timu ya Taifa kwa sababu ile ndio inabeba utaifa wa nchi ndio maana unapigwa wimbo wa Taifa.
Sasa Tanzania kwa sababu za kutafuta sifa za kisiaisa Raisi wa nchi yuko busy sana na vilabu na hasa Yanga na Simba, yaani yuko busy na Vilabu vya Yanga na Simba kuliko timu ya Taifa. Kule kwemye timu ya Taifa anaona hapamlipi saja kisiasa. Sasa akaona akomae na Yanga na Simba.
Account ya Msemaji wa Serikali ina post nyingi za mpira kuliko mambo sereous ya nchi, au ina oost nyingi za sijui Samia festival.
Nina uhakika Marais wa nchi zingine hawana hata habari kwmba kuna vilabu vya nchini kwao vinashiliki mashindano fulani, make ni swala dogo sana hilo kuhangaika nalo, Lamaphosa sijui hata kama anajua Mamelod wameingia Fainali na hawezi anza kupost mambo ya vilabu.
Hata ununuaji wa Magoli ni swala la kisiasa zaidi hakuna faida yoyote ile kwa nchi.
Huwezi ukawa Rais unakomaa na Vilabu vya Yanga na Simba kutafuta milige za kisiasa ilihali timu ya Taifa ambayo ndio nembo ya nchi ina bolonga huko.