BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Yeye na chama chake hasa chini ya dhalimu magu wameharibu siasa za ushindani, sasa wanapeleka siasa za kulazimisha kwenye soka.Ukimlinganisha na marais wa nchi gani?
Anyway, nadhani yeye anaangalia kipaumbele n kipi, kama watanzania wnyw muda wote mnawaza simba na Yanga tuu hakuna kingine kichwani unadhani na huyo kiongoz wenu atawapa kitu cha tofauti na ujinga mlionao kichwani?
Kwan uchaguzi upi mlikubali kushindwa kama kulikuwa na Siasa za ushindani? Mana uchaguzi wote nawaona mnalalamika tuuYeye na chama chake hasa chini ya dhalimu magu wameharibu siasa za ushindani, sasa wanapeleka siasa za kulazimisha kwenye soka.
Footpolitcs hii ndo Bongo ya wajinga wajingaNchi nyingi nazani zote Mambo ya Vilabu vya mpira sana yako ngazi za vyama vya Soka vya nchi husika ingawa hata vyama vyama vya soka navyo havihangaiki sana na Vilabu bali timu ya Taifa kwa sababu ile ndio inabeba utaifa wa nchi ndio maana unapigwa wimbo wa Taifa.
Sasa Tanzania kwa sababu za kutafuta sifa za kisiaisa Raisi wa nchi yuko busy sana na vilabu na hasa Yanga na Simba, yaani yuko busy na Vilabu vya Yanga na Simba kuliko timu ya Taifa. Kule kwemye timu ya Taifa anaona hapamlipi saja kisiasa. Sasa akaona akomae na Yanga na Simba.
Account ya Msemaji wa Serikali ina post nyingi za mpira kuliko mambo sereous ya nchi, au ina oost nyingi za sijui Samia festival.
Nina uhakika Marais wa nchi zingine hawana hata habari kwmba kuna vilabu vya nchini kwao vinashiliki mashindano fulani, make ni swala dogo sana hilo kuhangaika nalo, Lamaphosa sijui hata kama anajua Mamelod wameingia Fainali na hawezi anza kupost mambo ya vilabu.
Hata ununuaji wa Magoli ni swala la kisiasa zaidi hakuna faida yoyote ile kwa nchi.
Huwezi ukawa Rais unakomaa na Vilabu vya Yanga na Simba kutafuta milige za kisiasa ilihali timu ya Taifa ambayo ndio nembo ya nchi ina bolonga huko.
Kwamba tulikuwa hatuoni matokeo yanavyokwenda na tukawa tunabana zaidi? Dhalimu magu yeye hakuiba kura, bali alipora mchakato mzima.Kwan uchaguzi upi mlikubali kushindwa kama kulikuwa na Siasa za ushindani? Mana uchaguzi wote nawaona mnalalamika tuu
Siasa za ushindani wapi wewe tangia nimeijua chadema wao ni kulalamika kuibiwa kura tu yaani haijawahi kukubali kushindwa Sasa hapo Kuna ushindani GaniYeye na chama chake hasa chini ya dhalimu magu wameharibu siasa za ushindani, sasa wanapeleka siasa za kulazimisha kwenye soka.
Kwa muundo huu wa uchaguzi kwanini wasilalamike?Siasa za ushindani wapi wewe tangia nimeijua chadema wao ni kulalamika kuibiwa kura tu yaani haijawahi kukubali kushindwa Sasa hapo Kuna ushindani Gani
Baada ya kuapishwa kuna waliomlaghai kuwa kwakua hana base Tanganyika atumie wasanii na mpira kama base yake. Dhamira ni kuwa mfano followers wa Wema Sepetu automatically watampa support.Yeye na chama chake hasa chini ya dhalimu magu wameharibu siasa za ushindani, sasa wanapeleka siasa za kulazimisha kwenye soka.
Huna akili weweSiasa za ushindani wapi wewe tangia nimeijua chadema wao ni kulalamika kuibiwa kura tu yaani haijawahi kukubali kushindwa Sasa hapo Kuna ushindani Gani
Kabisa, anahangaika mno,Anajitahidi kweli aonekane, lakini wapi!
Wazo lako lina mantiki kwani wengi, kwenye vijiwe, na hata maofisini mijadala yahusu Simba na Yanga.Ukimlinganisha na marais wa nchi gani?
Anyway, nadhani yeye anaangalia kipaumbele n kipi, kama watanzania wnyw muda wote mnawaza simba na Yanga tuu hakuna kingine kichwani unadhani na huyo kiongoz wenu atawapa kitu cha tofauti na ujinga mlionao kichwani?
Hiyo ndo Siasa.Nchi nyingi nazani zote Mambo ya Vilabu vya mpira sana yako ngazi za vyama vya Soka vya nchi husika ingawa hata vyama vyama vya soka navyo havihangaiki sana na Vilabu bali timu ya Taifa kwa sababu ile ndio inabeba utaifa wa nchi ndio maana unapigwa wimbo wa Taifa.