Ni Tanzania tu Duniani Rais yuko Busy na vilabu vya mpira kisa politics

Haihitaji kutumia nguvu kubwa kujua waTZ wanataka nini. Ukijihusisha na Yanga na Simba tu umekonga nyoyo zao. Hilo Mama kaliona, acha acheze na akili zetu na hiyo ndo science ya siasa
 
Huko ndiko Kuna Watanzania,mpira ni industry kubwa Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…