Ni Taratibu zipi zinatumika mpaka kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima?

Ni Taratibu zipi zinatumika mpaka kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima?

jmchimbadhahabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
218
Reaction score
106
Hbr wadu!
Tafdhali naomba kupewa muongozo wa kisheria na taratibu kuanzia ngazi ya kijiji mpaka wizara husika zinazotumika kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima.
Nina mpango huo kwa sababu maeneo nilipo kuna watoto wengi ambao hawajiwezi na wanahitaji msaada hasa kielimu,tiba,malazi nk,nahtaji kujaribu kusaidia kwa namna yoyote kuwasaidia. Nitashukru.
 
Back
Top Bottom