Ngoja tuwasiliane na BAKITA/TUKI,wao ndio wenye mamlaka hayo kisheria,tuone nao wanasemaje?.
tulishakataz vidume kutumia ilo neno......Ni 'sheeeda'halifai kutumia mwanaume
hapo umenena....
mmbwa, mmbu? Soma kwa sauti
Mkimaliza kuweka sawa kiswahili halafu msisahau na kiingereza ambacho maneno yake yanavyoandikwa ni tofauti na yanavyotamkwa.