Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihi kabisa mkuu. hata neno mbunge linatakiwa kuandikwa MMBUNGE kama linavyotamkwa. umeona eeh? ngoja wataalamu wa isimu waje watufafanulie vizuri.
Sasa kama nzi linatamkika vizur iweje mbwa unaona halitamkk vzur hebu jpange....NZI sawa inatamkika vizuri MBWA unatamkaje?
hapo kwenye MMBUNGE naongezea kusahihisha iwe inasomeka hiviii M'BUNGE
naimani tutafika pazuri tu. jinsi tunayoenda na matumizi ya haya maneno tata nafanisha na serikali ilivyo yaani hata inapokosea haijirekebishi. sasa ni wakati wa kurekebisha LUGHA yetu ili tuingie kwenye 2015 UTAWALA MPYA LAFUDHI MPYA ILIYO SAFI.
JIRANI Zetu KENYA nao wanaindikaje hii M'BUNGE
MFANO mpwa. isome kwa sauti kama ilivyo. uisome MBUNGE kwa sauti kama inavoonekana. kwanini haya yanakuwa tofauti katika uandishi. MPWA inasomeka sawia ila MBUNGE inasomeka tofauti na inavyoonekana WHY?Huku Kenya tunaandika tu kama nyinyi. Ikiwa tutabadilisha Mbunge, neno ambala latokana na bunge, basi pia itabidi tubadilishe mdaku, mbishi, mpwa, mtundu. Nadhani maneno yote ambayo yako katika ngeli ya A-wa yafaa yatamkwe hivyo.
HEBU NISOMEE HILI NENO..Huku Kenya tunaandika tu kama nyinyi. Ikiwa tutabadilisha Mbunge, neno ambala latokana na bunge, basi pia itabidi tubadilishe mdaku, mbishi, mpwa, mtundu. Nadhani maneno yote ambayo yako katika ngeli ya A-wa yafaa yatamkwe hivyo.