Ni tatizo la kijenetiki tuu

Ni tatizo la kijenetiki tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Akizaliwa ng'ombe au mbuzi wa aina hii kwenye boma lako, utamuua au utamfuga?

Wakulima wengi huwaua, lakini kibaolojia hali hii inaitwa Incomplete Genetic Makeup, na hutokea hata kwa binadamu.
FB_IMG_1733898607805.jpg
FB_IMG_1733898603797.jpg
 
Jini hilo la kuua mara moja? Nguvu ya kufuga kiumbe wa ajabu unatoa wapi? Akipanda majike kizazi kitaendelea.
Majirani wataanza kukuogopa.
 
Genetic yenye nguvu ndio itatawala hasa kichwani
wanasema hakuna uhusiano wa kijenetiki kati ya mnyama na binadamu, mimba haitatungwa. Niliona chura mtandaoni anafanana na rang ya chungwa na mwingine kama karoti, sijui ikuaje hapo?
 
wanasema hakuna uhusiano wa kijenetiki kati ya mnyama na binadamu, mimba haitatungwa. Niliona chura mtandaoni anafanana na rang ya chungwa na mwingine kama karoti, sijui ikuaje hapo?
Siku hizi kuna majaribio mengi, mengine yanafaulu mengine yanafeli
 
Back
Top Bottom