Ni tatizo la Kisaikolojia au ushirikina?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sidhani kama ni hali ya kawaida. Haijazoeleka.

Sijasema pia ni mshirikina au ana tatizo la kiakili. Inaweza ikawa hivyo au kinyume chake.

Kwa kifupi, ni tukio la kushangaza sana kwa wengi.

Au anautafuta umaarufu?

Your browser is not able to display this video.
 
mimi sijawaza mengi nimewaza tuu akiowa inabidi litengenezwe la 6×6 alale na mkewe
 
Sidhani kama ni hali ya kawaida. Haijazoeleka.

Sijasema pia ni mshirikina au ana tatizo la kiakili. Inaweza ikawa hivyo au kinyume chake.

Kwa kifupi, ni tukio la kushangaza sana kwa wengi.

Au anautafuta umaarufu?
ulivotaja NIGERIA akili yangu ikanipa jibu!!...huu ni uchawi alionunua NIGERIA na lengo ni kuwa tajiri kwa ababu ata sura yake haifanani na utajiri,,{ameforce],,ata ukiangalia kwa nini anatembelea fimbo yenye kirungu??? fimbo ya kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…