Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.

Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
 
Uwezo wa kuwa na fiber nchi nzima kutapunguza sana gharama za internet na hivyo kutengeneza ajira kwa jaamii nzima.
 
Bilionaire was TZS yaani $ kama laki nne au billionaire wa $ dollar yaani dolla millioni elfu moja = TZS 2,645,000,000,000 (Trillioni mbili na billioni mia sita)?
 
Bilionaire was TZS yaani $ kama laki nne au billionaire wa $ dollar yaani dolla millioni elfu moja = TZS 2,645,000,000,000 (Trillioni mbili na billioni mia sita)?
Kwa Tshs mkuu, kwa bongo ni pesa nyingi
 
Back
Top Bottom