Ni "Text To Voice" ipi ina kiswahili safi kilichonyooka?

Ni "Text To Voice" ipi ina kiswahili safi kilichonyooka?

MsaniiMkubwa

Member
Joined
Sep 2, 2026
Posts
31
Reaction score
60
Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili".

Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.
 
"Tanzanian Kiswahili".
-
Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,
  • Tumia AI agent
  • Tengeneza sauti kwa lafushi uitakayo.
Mfano:
Nimetumia hii prompt
Code:
# MINI NARRATOR PROMPT — Male Swahili Documentary Narrator (Tanzania)

## VOICE
Male. Kiswahili cha Tanzania — lafudhi ya ki-Tanzania pekee (si ya Kenya, si Sheng, si Kiingereza).
Sauti ya kina, ya joto, yenye mamlaka — mtangulizi wa documentari (mtindo wa National Geographic).
Calm, confident, matamshi safi. Never rushed, never shouting.

## DELIVERY
- Slow, steady pacing (~130–140 words per minute).
- Short pause (0.4–0.7s) after: the opening hook, every big number, every quote, and before the final line.
- Direct quotes read slightly slower, subtle pitch shift.
- Closing line slower and softer — like the end of a documentary act.
- Vary pitch and rhythm naturally. Human storyteller, not flat TTS.

## SCRIPT
Short, punchy Kiswahili sentences. One idea per sentence.
Structure: Hook -> Tension -> Turn -> Payoff -> Share line.
Serious, factual, respectful. No slang, no jokes.
Keep English proper nouns as-is, spoken naturally inside the Swahili sentence.

## SELF-CHECK
Male + deep + calm documentary voice. Tanzanian Kiswahili only.
Cold-hook opening lands in 3s; final line is memorable and shareable.
If any criterion fails, re-read before delivering.
Na AI Agent imenipatia sample hii hapa:
 
Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili".

Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.

Makosa ya tafsiri: Kufunguka, kwenda kwa jina, zoezi la...

View: https://m.youtube.com/watch?v=dZWA3_qUII8
Prof. Hermas J.M. Mwansoko PhD (Kiswahili) - University of York, MA (Philology) - Moscow USSR , Diploma (Journalism) - Lumumba. Mhadhiri chuo kikuu cha TEKU jijini Mbeya Tanzania
Kufunguka juu ya...Anakwenda kwa jina...Zoezi la kujiandikisha...Je, wajua kwamba kauli hizo si sahihi na ni kutokana na tasfiri chapwa ya Kiingereza? [At the end of the day, open up, goes by the name na exercise] Msomi wa tafsiri Prof. Hermas J.M Mwansoko anaelezea makosa mengine yaliyoshamiri na kuhimizi kuwe na tungo asili za Kiswahili zisizoegemea muundo wa Kiingereza.
 
Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili".

Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.

Jul 19, 2026

Mustakabali wa Kiswahili katika zama za Akiliunde

View: https://m.youtube.com/watch?v=U2XlGMtMjHI
Wanachuo Daniel Wasilwa na Rooney Simiyu wawasilisha utafiti wao kuhusu athari chanya na hasi ya akiliunde katika ukuaji wa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom