Ni tiba ipi ya mjamzito inayoweza kumzuia kutema mate hovyo

minji

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
2,751
Reaction score
4,946
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu,nina mdogo wangu ni mjamzito wa miez mitano kamili,shida iliyopo ni moja tuu anatema sana mate mpk imefikia hatua anakuwa na kopo kila mahali anapokwenda au hii hali atakuwa nayo mpk ck anapojifungua,msaada plz kwa yeyote anaejua atumie nini ili awe kawaida .
 
Tiba ipo rahisi sana.ni avumilie mpaka ajifungue basi.nje na hvyo labda amsumbue MUNGU kumuomba abadilishe style ya alivyowaumba wanawake
 
subiri ajifungue tuu atapona hyo inatokana na vichocheo vinavyozalisha mate kuongeza production sababu ya hyo mimba.hyo kitu nila kimaumbile tuu

mvumilieni mumuwekee na ndoo kabisa pia air fresher kupunguza uvundo wa mate hyo ni kawaida kbsa tena msimseme vibaya.mwili unavyopatwa na mabadiliko km hyo mimba kuna vichocheo vinaongezeka kutokana na hayo mabadiliko ya kimwili
 
Tiba ipo rahisi sana.ni avumilie mpaka ajifungue basi.nje na hvyo labda amsumbue MUNGU kumuomba abadilishe style ya alivyowaumba wanawake
Hilo jibu amsumbue mungu tenaa
 
Asante kwa ushauri tulifikir kuna njia za kuweza kuzuia hili tatizo
 
njia rahis atafune big g,ama awe na pipi kali nyingi! amumunye ili.mate yote ayameze
 
Kwani kutema mate ni ugonjwa hadi umtafutie tiba?
 
Hiyo miezi mitano hana tatizo hilo humpata mwanamke mjamzito kuanzia mwezi wa kwanza hadi miezi mitatu baada hapo huisha yenyewe wataalamu wanaita (hypermesis gravidurum) sina uhakika na hiyo spelling.
 
Mpaka ajifungue, au yanaeza kata mimba ikikua.Miezi mitano na kuendelea.
 
Nilisikia wanasema atafune tangawizi

Ila afanyw uchunguzi kama ni kweli asije akashusha kitu kablanya wakati wake buuure
 
Fugeni nyoka wawe wanashindana kutema mate akishindwa atacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…