minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu,nina mdogo wangu ni mjamzito wa miez mitano kamili,shida iliyopo ni moja tuu anatema sana mate mpk imefikia hatua anakuwa na kopo kila mahali anapokwenda au hii hali atakuwa nayo mpk ck anapojifungua,msaada plz kwa yeyote anaejua atumie nini ili awe kawaida .