Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

Mimi timu zote za chini ya Jangwa la sahara.


Wao wanataka kuvuna wasipopapanda.

Wao wanataka kukusanya wasipo patawanya.
 
Simba,Liverpool,Man City,Arsenal,Chelsea, sasa hivi na Juventus
 
Mie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.

(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Daaa kwa Mara ya kwanza tangu aingie madarakani Mh. Magufuli alinikonga sana moyo kwa maneno yake murua kwenye hiyo mechi
 
Yanga, Liverpool, Man city, Arsenal, Chelsea, Barcelona Hua nafurahii Sanaaaa had kitandani naweza panda na viatu
 
Simba na Man U....yaani roho kwatu.....
 
Mi Simba na Yanga na naziombea zife tu kila siku mpaka nafunga ili zifungwe kila kukicha. Sizipendi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom