Kuna mdada huko Italia,baada ya ujio wa Cr7 Juventus..Team yoyote aliyopo CR7[emoji57]
Daaa kwa Mara ya kwanza tangu aingie madarakani Mh. Magufuli alinikonga sana moyo kwa maneno yake murua kwenye hiyo mechiMie simba tu jamaani na kama ile game ya mwisho alipofungwa na Kagera Sugar mbele ya Jiwe basi moyo wangu uliburudika hatari.
(Mnisamehe mikia ndio furaha yangu hiyo) Teh teh teh
Jamaa humpendi MessiDuh hapa mimi taonekana mchawi maana wakipigwa hawa mimi hua nachinja hata kuku wa jirani kwa furaha,
-man city
-barcelona
-ndala fc
-uholanzi
-argentina
-n.k.
Tena Akacheeka hasa. Na makavu akawapa. 😂😂😂😂😂Na bwana jiwe akacheeeekaaaa,aibu kweli dah kaseja ni noma
Huwa mnasikitisha sanaTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.
Wewe ni Chelsea bila shakaHizi timu zikifungwa huwa nafurahi Sana:
Man United
Asernal
Liverpool
Tottenham
Man City
..................hongezea zingine
STARS km England tuTaifa Stars maana huwa wanajipa sifa kubwa kuliko uhalisia wa kikosi chao.