mooalex
Member
- Dec 5, 2018
- 14
- 22
Kiukweli binafsi mimi ni mpenzi wa Simba, ila kusema ukweli ni kuwa mpira wa Tanzania bado sana.
But hamna anaepinga kwa sasa Simba ni club bora hapa Tanzania kwani mpira wao uwanjani wanaonana vzuri sana, pasi kama zote.
Ukikutana na mkude pale kati na kuna mtu mbaya anayeitwa Chama ukifika mbele kuna watu wabaya Okwi na mwenziwe Kagere ni balaa tupu.
Je wewe unahisi ni club gani inakuosha kwa mpira wake hapa Tanzania?