ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ni wao pekee ambao hawana desturi ya kufungwa Hovyo japo kwa nadra hutokea wakafungwa..
Daima ukiwa unaangalia game yao ni raha tupu ni kama wachezaji wa playstation, kuanzia umiliki wa mpira 'ball control' accuracy hata nidhamu.
Waijua klabu hiyo? Hebu bashiri hapa.
Umenifanya nicheke asubuhi hiiGor Mahia