Ni Timu Moja Tu Duniani Haifungwifungwi Hovyo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni wao pekee ambao hawana desturi ya kufungwa Hovyo japo kwa nadra hutokea wakafungwa..
Daima ukiwa unaangalia game yao ni raha tupu ni kama wachezaji wa playstation, kuanzia umiliki wa mpira 'ball control' accuracy hata nidhamu.
Waijua klabu hiyo? Hebu bashiri hapa.
 
Sasa si ungeitaja tuu Manchester United au ulikuwa unataka tuanze kuimba kwanza?

Glory Glory Man United
 
Back
Top Bottom