Ni Tofauti gani unaiona unapo Imagine Mipango yako na matendo yako?

Ni Tofauti gani unaiona unapo Imagine Mipango yako na matendo yako?

Marco Seth

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
5,373
Reaction score
6,904
Je unapoimagine kitu fulani je huwa unakitimiza au huwezi?

Je Mafanikio yako unayoimagine yanautofauti gani na uhalisia au utendaji wako?

Je unapoimagine mpango na kuutimiza in.reality Je ni changamoto zipi huwa unazipitia?

Kuna utofauti gani kati ya unavyoimagine ulivyo na jinsi watu wanavyokutizama?
 
0385C5CA-0789-4857-990E-8F3768A8368B.jpeg
 
Back
Top Bottom