Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Nakazia ,Kwa wanavyo nitazama huwa sijali sana ila huwa nalinda sana kile nakifiri binafsi kuliko watu wanavyonifikiri
Kabisa na hilo limekua mzigo mzito kwa wengiNakazia ,
NB usijicompare na mtu mwingine yoyote yule.
Kabisa na kama mtu anaathiriwa kirahis jinsi anavyotizamwa ni rahis huyo mtu Kukosa confidence na kufanikiwaKwa wanavyo nitazama huwa sijali sana ila huwa nalinda sana kile nakifiri binafsi kuliko watu wanavyonifikiri
KabisaNakazia ,
NB usijicompare na mtu mwingine yoyote yule.
Hilo gereza ni hatari kwa afya ya akili.Kabisa na hilo limekua mzigo mzito kwa wengi
it's u vs me 🙂Its me vs me
Hahaha against all odds!it's u vs me 🙂