Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Habari za mdaa huu wakuu.

Najipanga kununua trekta kwa ajili ya kilimo hivyo basi naomba wale wenye uziefu na matrekta mnipe ushauri wa ipi trekta bora kati ya new Holland na John Deere.

nawakilisha
 
New Holland is the best!

Ina nguvu, ina dumu, speed shambani, ni bei nafuu kuliko John Deer, pia spea zinapatikana kirahisi kuliko John Deer.

John Deer new model inavutia kwa muundo ila mikono ya jembe membamba sana na pump zake ndogo sana.

New Holand ni best of all.

Ila ukipata John Deer labda uchukue old model haswa 2130.

Ni imara ni ngumu
 
Vipi Massey Ferguson umeyaangalia?
news_190816_mf300xtra.png
 
c6314b0188ad098c789c9cb18bf11c49.jpg

5f49e591da1b4975fc2862eccd4f596d.jpg

Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza

Ukinunua unapewa na jembe lake

Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156

Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
 
Mbona kama imechoka sana? Nikiinunua si itakula kwangu?
 
c6314b0188ad098c789c9cb18bf11c49.jpg

5f49e591da1b4975fc2862eccd4f596d.jpg

Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza

Ukinunua unapewa na jembe lake

Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156

Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
Unaanza na ngapi mkuu? Tuongee bei.
 
c6314b0188ad098c789c9cb18bf11c49.jpg

5f49e591da1b4975fc2862eccd4f596d.jpg

Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza

Ukinunua unapewa na jembe lake

Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156

Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
...unauzaje hii, ni pm
 
Case Tractor na New Holland mtengenezaji ni mmoja. Injini IVECO kwa 75hp 4wd.
 
Case 75hp 4wd. Bei cash tsh 49.5mn. Mkopo unatanguliza tsh 25mn unapewa mwaka 1 kulipa.
 
mkuu kwa ushauri wangu vuta Massey Ferguson ni cheap kwenye spare parts na zinapatikana kwa urahisiau kama mfuko unaruhusu chukua ford hautajuta mkuu
 
Habari za mdaa huu wakuu.

Najipanga kununua trekta kwa ajili ya kilimo hivyo basi naomba wale wenye uziefu na matrekta mnipe ushauri wa ipi trekta bora kati ya new Holland na John Deere.

nawakilisha
Unajua New Holland ni Copy ya Ford tractor, John deer haina Copy,ni bora ununue john deer japo spea zake ni ghali.uzuri ukifunga spea mpya unasahau.New Holland hautafurahia utendaji wake.
 
Back
Top Bottom