Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
hii ndio kiboko na spea ni nyingi sanaVipi Massey Ferguson umeyaangalia?
Mbona kama imechoka sana? Nikiinunua si itakula kwangu?
Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza
Ukinunua unapewa na jembe lake
Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156
Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
Mkuu haijachokaMbona kama imechoka sana? Nikiinunua si itakula kwangu?
Unaanza na ngapi mkuu? Tuongee bei.
Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza
Ukinunua unapewa na jembe lake
Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156
Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
...unauzaje hii, ni pm
Mkuu angalia hyo massey ferguson nauza
Ukinunua unapewa na jembe lake
Kwa maelezo zaidi nicheki kwenye namba hii, iwe kawaida au hata whatsApp : 0712138156
Nipo Dsm ila biashara inafanyika ukiwa popote.
Mkuu inauzwa 23 milion. Na jembe lake.Unaanza na ngapi mkuu? Tuongee bei.
Kiboko yao. Kama ukipata Kubota ndio mpango mzimaVipi Massey Ferguson umeyaangalia?
Unajua New Holland ni Copy ya Ford tractor, John deer haina Copy,ni bora ununue john deer japo spea zake ni ghali.uzuri ukifunga spea mpya unasahau.New Holland hautafurahia utendaji wake.Habari za mdaa huu wakuu.
Najipanga kununua trekta kwa ajili ya kilimo hivyo basi naomba wale wenye uziefu na matrekta mnipe ushauri wa ipi trekta bora kati ya new Holland na John Deere.
nawakilisha