Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
- Thread starter
-
- #21
Nimekusoma mkuuUnajua New Holland ni Copy ya Ford tractor, John deer haina Copy,ni bora ununue john deer japo spea zake ni ghali.uzuri ukifunga spea mpya unasahau.New Holland hautafurahia utendaji wake.
Hizo zilikuwa kitambo sana mkuuMassey ferguson ni best kuliko zote ulizoulizia.
Nimekusoma mkuu
Watu Huwa wanasema JD spea ni shida kuzipata. hapo imekaaje?kuna mzee fulani wa VETA, Dar alinambia yeye ni mzoefu sana wa matrekta akashauri ni bora ununue mtumba wa John Deer au Massey Ferguson kuliko New Holand, anasema hizi hazinaga maisha marefu ni pambo tu japo ni copy ya Ford tractor ila yeye anazikubali JD na MF
hapo sina jibu coz cjaanza hyo business nafikiri utengenezwe uzi maalum wa hao dealers maana wako bize sana kujitangaza ukiwafata watakuwa na majibu mazuriWatu Huwa wanasema JD spea ni shida kuzipata. hapo imekaaje?
Watu Huwa wanasema JD spea ni shida kuzipata. hapo imekaaje?
Miaka inayozidi kwenda na teknolojia inabadilika pia. Kuna mtu aliwah nambia trekta inayotumia rotor pump ni imara kuliko ya electric pump jambo ambalo si kweli kabisa.kuna mzee fulani wa VETA, Dar alinambia yeye ni mzoefu sana wa matrekta akashauri ni bora ununue mtumba wa John Deer au Massey Ferguson kuliko New Holand, anasema hizi hazinaga maisha marefu ni pambo tu japo ni copy ya Ford tractor ila yeye anazikubali JD na MF
Mi naona New holland za pale suma jkt n nzur zaid nlshudia mzee mmoja kanunua na akapewa elimu tajr wa trekta pamoja na dereva(operator) yaan ukienda kuiharbu n uzembe tu wa mtu na kutokuwa na huruma na pesa za izo machineZote ni trekta bora. Mara nyingi ubora wa trekta unategemea na wewe mmiliki pia, kama hulitunzi na kuliheshimu, litaitwa marehemu kabla hata ya mwaka kuisha. Ngoja nikupe ufafanuzi mdogo wa matrekta ila kama ukihitaji zaidi ni pm nikupe namba yangu unipigie nikueleze kwa undani maana maelezo ni mengi na inchosha kuandika kwa kutumia simu.
1)Massey Ferguson(mf) hili trekta tangu enzi za mwalimu lipo na spare zake ni nyingi mno hata ukiwa mashamba ya ndani ndani sana utapata spare na mafundi kibao wanalijua hili. Ni trekta imara sana. Yapo yanayotoka England na mengine yanatoka Pakistan. Kama mfuko unaruhusu chukua ya England ni imara sana na bei ipo juu kuliko hayo ya Pakistan na spare nazo bei ni hivyo hivyo. Spare ya kutoka Uingereza huwa ni juu hata mara mbili ya spare ya kutoka Pakistan
2) John Deere(jd). Nalo ni zuri ila usichukue yanayotoka India si imara sana. Nafikiri haya pia yanatoka England au Marekani. Kwa ujumla Jd bei ipo juu hadi vipuri vyake pia vipo juu haijalishi imetokea nchi gani. Na upatikanaji wa spare Tz hapa ni wa shida na wanaoziuza wanaringa na bei inabadilika muda wote kwa sababu wanajua zipo chache. Mafundi wengi hawazijui hizi so likiharibika kupata fundi anaezijua kidogo huwa inasumbua.
3) New Holland ina sifa kama za mf japo lenyewe kwa hapa nchini si kongwe sana. Ila nalo ni imara sana na mafundi wapo wa kutosha. Spare zake ni ghali kulinganisha na mf ila zinapatikana karibia Tz yote.
ANGALIZO!
Nunua trekta kulingana na mahitaji yako na mazingira ulipo. Usinunue ili mradi uonekane na wewe unamiliki trekta litakushinda.
Matunzo ni muhimu sana lenyewe pia linahitaji matunzo kama vile unavyotunza vitz, vx, rav 4, range rover au ford ranger[emoji16]
Usinunue trekta kwasababu ya kampuni kujulikana sana, utalia sana pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote ni trekta bora. Mara nyingi ubora wa trekta unategemea na wewe mmiliki pia, kama hulitunzi na kuliheshimu, litaitwa marehemu kabla hata ya mwaka kuisha. Ngoja nikupe ufafanuzi mdogo wa matrekta ila kama ukihitaji zaidi ni pm nikupe namba yangu unipigie nikueleze kwa undani maana maelezo ni mengi na inchosha kuandika kwa kutumia simu.