Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
NI UTANI TU 😂😂
Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma,
Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017
Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni siri yako tu...
Lakini ukikosea kuingiza pin unaambiwa umekosea,
Wao wamejuaje nimekosea
Au acha tu nisiingilie mfumo
Kabla hujasema mimi ni mvivu jiulize ninaendeshaje maisha yangu bila msaada wako?
Ukikosa jibu basi nakushauri usijipe umuhimu ambao hauna kwenye maisha ya watu.
Siku hizi PESA ni Kama Ukimwi ukimuuliza kila mtu,atakwambia sina
Hichi ni kizazi cha punda ukikitendea jema,hakina shukrani zaidi ya kugawa mateke.
Ni kizazi cha kishenzi ambacho mabinti wadogo wanavalishwa vizuri kwa staha kuliko mama zao....sjui wakikua wataiga mifano gani!
Wakati watu wako busy kutengeneza future zao....
Halafu kuna wewe mpuuzi mmoja unawaza jinsi ya kumkomoa Ex- wako....
Kenge wewe husikii mpaka sikio litoke damu
Jifunze kuomba msamaha unapokosea,Acha kutafta caption za kuhalalisha upuuzi wako uliotenda
Sio kwasababu hunioni kanisani na Biblia,ukafikiri sijui kwamba Rebecca ni mama yake na Yesu
Hatuwaona Mara nyingi wazazi wa kiafrika wakikumbatiana,kisses wala namna zozote za mahaba....lakini kufumba na kufumbua unashitukia wana watoto 12...
Msinishambulie ni utani tu.
Unamfungulia mlango wa gari,unafungua wallet kulipia bills za chakula huko muendako....
Yeye atakufungulia ch*p*...tu
Bro upo upo kwenye biashara haramu nini??
Kuna muda nina tamani ningekua na demu,au mwanamke wangu pekeangu,lakini nikikumbuka Afrika tunashirikiana kila kitu...
Natulia zangu
Huku Afrika tuna utamaduni wetu msituingilie,tukifunga mlango tunachomoa funguo halafu tunahakikisha tumefunga kweli
Huu ni utaratibu wetu.
Hakuna mwanamke yuko busy Kama mwanamke ambaye hakupendi wala hakukubali,ukimtafta atakwambia
Subiri kidogo nitakupigia ninakazi na ukifuatilia ni kazi gani
kumbe anahesabu stretchmarks
asee inachosha.
#foryouã‚·page #knowledgeispower #nature #IlluminateYourSpace
Content created by : magical power