Ni tukio gani la kusikitisha lililowahi kukuta ukiwa night club hadi leo hujasahau

Nilikuwa ninakojoa nje ya club sasa wakati ninataka kufunga zip likatokea kundi LA wadada warembo mmoja alinimulika na toch ya simu yake pale ktk zip wakaiona MASHINE yangu wakanidaka woote na kuniingiza ktk Gari lao nilikuwa Mpole Saana Kwa kuwa walikuwa warembo sikukukuruka nikajifanya mpole tu.Wakajifanya wAmeniteka wanataka huduma ya kusuguliwa duuuh niliwasugua kweli hadi SAA 4 asubuhi wako hoi ila walichanga wakanipatia wekundu 7 kama nauli.
 
Nilikutana na mtoto m1 makini sana sijawahi ona , alikuwa mtoto wa UDSM ilikuwa Maisha basement ,mtoto akaelewa swaga za mnyamwezi baada ya kumchapa smirnOff mbili tatu ikabidi tubadilishane contact sikwenda na simu club sikuhiyo ikabidi nimwandikie digits zangu kwenye cmu yake then akanisave kwa kuniahidi atanitafuta, masikini roho yangu pombe zikanizidi nikapitiwa na usingizi kwenye sofa, kuja kushtuka ngoma kumi na moja kasoro alfajiri nipo mwenyewe kwenye sofa demu kashasepa, na mbaka leo hajanitafuta na sijafanikiwa kumuona mtoto mzuri yule, kilichoniuma sanaa ni kitendo cha kushindwa hata kubeep au kumwambia anitext pale pale nilipompa namba, nikikumbuka yule mtoto huwa najicheka sana na kujisemea moyoni kweli pombe sio chai.
 
Aiseee kuna siku Niko na mwanangu, tukazama bills, ile kutia mguu tu ndani nkakutana na mwanangu wa kitambo sana y

Ile oya oya mingi ,jamaa akanitonya kana na mzigo wa mirungi kama kilo5 hivi dadadeki ,mixer vitu vigumu kadhaaaa,

Tukazama smoking room mida ya sa8, kula sana vitu hadi tukazima, kuja kushtuka sa10 inaelekea sa11 .

Mwana nliekuja naye hata sijui yuko wapi, basi nkajisogeza hadi stand ya dala dala .

Nlivyokaaa nkakaaa ,daladala imetoka posta hadi mabibo ikashusha Mimi nimo tu ikageuza Tena posta Mimi nimo tu, ikarud Tena mabibo aiseee hapo sielewi kitu badae konda akanifata akaniuliza wewe unaenda wapi mbona hushuki ,dah nkikumbuka nacheka sana
 
Bidada nilimnunulia kinywaji ili tucheze mziki mpaka basi...nasikitika bando la vinywaji lilikata na njiwa akapeperuka halafu nilikuwa na hamu nae sana
Haha jossverest hats Mimi yamenikuta hayo uyasemayo kitambo sana
 
MAISHA YA CLUB NI STORY NDEFU SANA MI NAKUMBUKA KIPINDI NASOMA AZANIA ......

NILIKUWA NA KUNDI LANGU LINAITWA G UNIT NIKIWA NA MSHIKAJI MMOJA MTATA SANA KWA JINA DMX .. .....

BASI ILIKUWA KILA JUMAPILI CLUB BILLICANAS ENZI ZA JAMSESSION DMX LAZIMA AANZISHE UGOMVI HUYU MSHIKAJI ALIKUWA MTATA SANA WANANGU WA AZANIA TULIOMALIZA 2007 MTAKUWA MNAKUMBUKQ
 
SIO HIVYO TUU MIMI HAKUNA ENEO CLUB NILIKUWA NINA ENJOY WATOTO WAZULI PALE AMBIANCE PALE MAENEO YA SINZA......

JINSI WALIKUWA WAKITUTONGOZA WANAUME YAANI UKIAGIZA KINYWAJI KISHA UKITULIA UTAONA VITOTO VIZULI. JINSI WANAVYOJIPITISHA NA KUTOTONGOZA DAH......

AISEE MKUU WA WILAYA WA KINONDONI AMETUKOSESHA SANA FURAHA KUIFUNGAA
 
Ivii MKUU UNAKUMBUKA JAMSSESSION. DISCO TOTO CLUB BILLICANASS LAKINI
 
Mi nakumbuka nilitoka club moja mbeya kitu SAA Nana hivi genye zilikaba ila nilikua na baby basi tukiwa njiani huku full barid tukapiga mambo chochoro moja hivi..genye na pombe mbaya sana
 
me nlikuaga na rafk yng....ss baada ya kuwaka kichwani kuna jamaa tukamchokoza...kumbe yule jamaa ana washkaji zake wengine km 20 hv wa chuo cha ifm....c wakawa wanatusubir nje...cc tukashuka zetu mpk chini ile kutoka tu tunakutana na kundi la watu...asee tulikula kichapo mpk ikabd tuombe msamaha wakatuachia na toka ckuile ikawa tukikutana nao tunasalimiana kwa heshima[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka kipindi kimoja nilienda club mbele.

Ilikuwa VIP hujaja na gari la maana huingii.
Tukakodi limonzin HUMMER.
Wale walinzi kabla hata hatujashuka walishafungua mlango.

Nilikuwa na watoto wa tatu wakishua. Mfukoni nina dola elfu moja. Dola ishirini ishirina na dola kumi kumi.


Yani hapo nilikuwa tungi balaa.
Watoto wameniganda ile mbaya na nilishatungua wote wiki nzima walikuwa geto kwangu tuna spend tu.

Cluba si likapigwa dude ya cash money make it rain...
Nikaanza kurusha zile dola kumi kumi.. Club imejaa wazungu hawana hata time na zile dola wanajua ni feki..
Ila wale madeemu zangu wakawa wanaziokota .. Kuna baadhi ya madogo wanafunzi machale yakawacheza
Wakaanza nao kuokota naskia wanaongea kwa lugha yao kuwa hizo ni real.
Daaaah tumerudi home nina dola 30 mfukoni na wale mademu waliniokotea dola 140.

Zingine zote hasara.
 
[emoji3][emoji3] sasa ulivyo boya usd 1000 ni pesa ndogo saana. Ni milioni 2 za kibongo haha
 
Si alisema akifika kwao atakutafuta? Basi bado hajafika huyo au hana kwao mpaka leo hajafika.
 
We unatokea Bukoba eeeeeeh...
 
Inamaana mademu wa humu hawajawahi kukumbwa na mkasa wowote? Au ndo wanaifuatilia thread kimya kimya huku wakijifuatilia wanavyoelezewa kwenye comments
 
Nakumbuka masai club kahama,kuna mdada alikunywa bia za watu alf hatak kuondk na jamaa aliemywea bia zake bac ikawa vurugu dem akakimbilia kwangu
Alf mi club siku hyo nilkua na wahuni wangu shazi so jamaa tukamjazia jam akatulia
dem alkua tungi balaa nmekaa nae kwenye kochi apumzike kwanza mara akachukua mkono wangu ndani ya papuchi yake
Ikabidi nile mzigo maana dem alkua na genye balaa
Baada ya club kuisha nikachukua contact dem akasepa kwao
After 2weeks dem akaja nambia ana mimba nikawaza sa huyo mtot si atakua wa laan huyoo
baad ya mda nampigia asha abort
Nishukuru sanaa

Nb:Nilkua sitoki club bila dem nilkua napendelea wakati wa ladies free then wanaume tunalipa hela hujutii hela yako
 
David huyo jamaa alikunywa bia zake hajakuzikunguaa lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…