miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilikuwa ninakojoa nje ya club sasa wakati ninataka kufunga zip likatokea kundi LA wadada warembo mmoja alinimulika na toch ya simu yake pale ktk zip wakaiona MASHINE yangu wakanidaka woote na kuniingiza ktk Gari lao nilikuwa Mpole Saana Kwa kuwa walikuwa warembo sikukukuruka nikajifanya mpole tu.Wakajifanya wAmeniteka wanataka huduma ya kusuguliwa duuuh niliwasugua kweli hadi SAA 4 asubuhi wako hoi ila walichanga wakanipatia wekundu 7 kama nauli.
Hapana dushe langu huwa halichovi ovyo ovyo... kama wewe unavyoilinda papuchi yako kwa wasio na helamkatiana
Kaka miaka hiyo unayosema wewe ni miaka gani ambayo Navy kenzo walitoa kamatia chini. Maana hapa unavyoongea ni as if story ni ya 2005.Miaka hio Bado naenda club nikawa nimeenda Swizz pub kwa wale wa Tabata wanakumbuka ndio ilikua kipande maarufu Tabata na viunga vyake.
So enzi hizo I'm good kwenye kudance any kind of song Mzee.
One day kuna ile unakuta mjamaa sio club goer ila inabidi aje tuu club coz manze wake anakuja.
Basi Mzee hio njemba imekuja na demu wake kisu kweli kweli ila njemba ya hovyo hovyo tumbo ka fuko la taka Mzee yuko tungi plus kucheza ndio hawezi bora awe hajui. Demu anaonekana ana hamu ya kudance kweli kweli basi anakuja dance floor kwa kuibia ibia.
Ikafika stage DJ kaanza reggae raga na raga muffin mixer dancehall basi akawa kanifikisha. Tia style kibao pale mixer kalipso ya Uganda, kutaharuki binti kafutiwa na style zangu kaja tukaanza cheza. Ile namna wameimba navykenzo kamata chini kamatia chini tunaenda tuu.
Njemba wivu ukapanda tukasikia tuu chupa imefurumushwa bahati nzuri haikutupata ikavunjikia pembeni, kutahamaki Jamaa anataka anakwide nikampa push kaangukia pembeni. Akataka alianzishe Bahati nzuri Swizz kiwanja cha home kila mtu ananipata basi Jamaa akatulizwa.
Hapo manzi keshakimbia kenda kaa kwenye sofa.
Hili tukio huwa silisahau nikiwaza ile chupa ingenipata ingekuaje. au ningekua kiwanja ambacho si mitaa ya home ingekuaje?
Mimi sio type za wale wa kutembea na wallet MIMI muafrika natembea na hela zangu kwenye KIDONCHOUngetupa wallet yako na kweli waone umeitupa ungeelewa unaegombaniwa ni wewe au pesa yako.
hongera mkuu sasa ikawaje?Hapana dushe langu huwa halichovi ovyo ovyo... kama wewe unavyoilinda papuchi yako kwa wasio na hela
Teh teh teh, katika story zote yako imenichekesha sana.Niliingia night club kwa ajili ya kufanya show pamoja na freestyle nikiwa na washikaji zangu tukajikuta tupo wenyewe tu na DJ na mabaunsa.No mashabiki aseeee.....Niliumia sanaaaaa.
Siyo utani mkuu.Ilikuwa Club Shemsh huko Goms watu hawafagilii asee.Teh teh teh, katika story zote yako imenichekesha sana.
Naifaham hiyo club, so wakati mnaanza show watu wanatoka nje?Siyo utani mkuu.Ilikuwa Club Shemsh huko Goms watu hawafagilii asee.
Bora wangekuwa wanatoka maana pesa ingekuwa imeingia yaana from dusk till dawn ni wasanii na dj.Mwisho wa siku tukaanza kumaliza hasira zetu kwa kuzikata ngoma.Naifaham hiyo club, so wakati mnaanza show watu wanatoka nje?
Mwanangu hiyo avator yako si mchezo.Domo nusu kilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naifaham hiyo club, so wakati mnaanza show watu wanatoka nje?
Hujaelewa mkuu. Hiko ni kibwagizo. Nimemaanisha tulikua tunacheza namkamatia chini tunapanda juu. Anakata kwenda chini namm namfata huko huko...Kaka miaka hiyo unayosema wewe ni miaka gani ambayo Navy kenzo walitoa kamatia chini. Maana hapa unavyoongea ni as if story ni ya 2005.
Kweli hautasahau japo hiyo issue haikutokea club bali ilianzia club na kuishia nyumbani.Kipindi flani nipo ngudu, kuna bar moja inaitwa magreth ndo ilikuwa inafunguliwa.
baada ya kula na wenzangu viroba mimi vikanishindwa nikaweka senator. zilivyoissha hapo tukahamia safari club.
sasa kule ikawa mwendo ni kunywa tuu mpaka zikanishinda. nikaaga naenda choooni ili niwatoroke majamaa zangu nafika mlangoni hamadi wakaniambia huendi mahali turudi ndani. niliendelea kunywa mpaka nikawa hoi.
kurudi home nafika mtaa mmoja hivi nakutana na mmama mmoja hivi shemeji yangu. nikawaambia siwezi tembea. wakaniingiza gheto lao wale wamama wako kama wa nne hivi.
sasa nilichokumbuka wakaanza kunipaka rangi za kucha, mwingine ananipaka wanja, mwingine lipstic, mwingine ananitinda nyusi, mwingine ananivua jeans sijui walinibaka.
sasa asubuhi imefika bado tungi lipo kichwani nikaenda chooni kikaanguka uko, wakaja nitoa wakanifuta nguo. wakaona sijiwezi wakaniletea supu.
ile naenda nyumbani bado tungi lipo kichwani barabara nzima wananicheka na kunipiga picha. nafika nyumbani ndo naelewa walichonifanya.