Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Am For Real

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
323
Reaction score
770
Habarini Wadau Kati ya TV hizi ipi ni Bora Kwa matumizi na haitaleta changamoto mbeleni huko.

1.Hometech (32 inches)
2.TCL (32 inches)
3.Alitop( 32 inches)
4.Aborder(32 inches)

Budget niliyonayo ni hii 310,000/=

Specifications nazotaka ni hizi

1. TV iwe FULL HD (1080p) au ultra HD (3840p) isiwe HD Ready.

2. Iwe smart TV au Android TV.

3. Iwe na speaker ya maana inayotoa sauti ikaskika.

4. Isiletee matatizo kama picha kuwaka kama mwanga wa disco.

5. Iwe na Bluetooth.
 
Hapo ni TCL ambayo haipo ndani ya budget yako, ukiwa na 360 nitakuuzia TCL na kama hautaweza kufika bei chukua Alitop kwani ina picha kali ila uta upgrade after a year maana Alitop haina guarantee ya kuishi nayo muda mrefu kama TCL
Mkuu TCL 32 inches dukani inasimama bei gani?
 
Hapo ni TCL ambayo haipo ndani ya budget yako, ukiwa na 360 nitakuuzia TCL na kama hautaweza kufika bei chukua Alitop kwani ina picha kali ila uta upgrade after a year maana Alitop haina guarantee ya kuishi nayo muda mrefu kama TCL
Kwanini!!?Ina maaana zinaharibika mapema!!?na ugonjwa wake ni nini!!?Alitop!
 
Hizo alitop ni 720x1280 hivyo zina pixel ndogo, haikupi real hd kama yenye 1080p ,japo kwenye box watakuandikia 1080p na sio 780p. Pili zinakufa sana taa zake, na chip yake ni low quality, ianaharibika mapema,na ndio maana madukani huko zinauzwa kama njugu kwa ajili ya kufanya replacent ya hizo tv, na hizo chip ni universal, yaani mchina anatengeneza tv mbovu na spea ili apige biashara kote kote
 
Zikitengenezwa baada ya kuharibika zinadumu!!?au ndio basi tena!
 
Hizo alitop ni 720x1280 hivyo zina pixel ndogo, haikupi real hd kama yenye 1080p ,japo kwenye box watakuandikia 1080p na sio 780p. Pili zinakufa sana taa zake, na chip yake ni low quality, ianaharibika mapema,na ndio maana madukani huko zinauzwa kama njugu kwa ajili ya kufanya replacent ya hizo tv, na hizo chip ni universal, yaani mchina anatengeneza tv mbovu na spea ili apige biashara kote kote
Nina inch 55 Alitop!vipi nitarajie sarakasi Kila siku!!?
 
TV ni LG hata bei yake hamna inayoifikia kwambaali hisence na HTC ambazo kwa bongo ni nadra sana
 
Tv siku zote inaanza LG hata bei zake mkasi sana inafata samsung sony hisense tcl bruhm skyworth panasonic pintechstarx na ndugu zake wengne ila kwa specification unazozitaka hapo juu andaa budget ya 450k minimum na ukihitaji tv usisite 0743586474 napatkana kkoo
 
Hizo zote ulizotaja sio kwa Samsung labda iwe Samsungu!!
 
Back
Top Bottom