Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Tv siku zote inaanza LG hata bei zake mkasi sana inafata samsung sony hisense tcl bruhm skyworth panasonic pintechstarx na ndugu zake wengne ila kwa specification unazozitaka hapo juu andaa budget ya 450k minimum na ukihitaji tv usisite 0743586474 napatkana kkoo
Hisense ondoa kwenye hiyo list labda Hisense ambazo siyo smart tv ndiyo nzuri ila usije kununua Hisense smart tv nitakataka na sababu ninazo T con za hizo tv za Hisense zipo kwenye mother board hivyo kufanya kioo chake kuwa uselgess endapo motherboard itakufa
 
Nataka nivute TCL 32 Smart/Android TV

Budget ina range ngapi mkuu?
Sijapitia soko la TV muda ila haizidi 350-400.

Kama unaweza nunua size kubwa ata isiwe smart ila hakikisha ni FHD
 
Basi sie wengine tunatumia mataputapu maana hizo sifa mnazoziongelea huwa siangalii kabisa
 
Back
Top Bottom