Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Mkuu TCL 32 inches dukani inasimama bei gani?Hapo ni TCL ambayo haipo ndani ya budget yako, ukiwa na 360 nitakuuzia TCL na kama hautaweza kufika bei chukua Alitop kwani ina picha kali ila uta upgrade after a year maana Alitop haina guarantee ya kuishi nayo muda mrefu kama TCL
From 380Mkuu TCL 32 inches dukani inasimama bei gani?
Kwanini!!?Ina maaana zinaharibika mapema!!?na ugonjwa wake ni nini!!?Alitop!Hapo ni TCL ambayo haipo ndani ya budget yako, ukiwa na 360 nitakuuzia TCL na kama hautaweza kufika bei chukua Alitop kwani ina picha kali ila uta upgrade after a year maana Alitop haina guarantee ya kuishi nayo muda mrefu kama TCL
Hizo alitop ni 720x1280 hivyo zina pixel ndogo, haikupi real hd kama yenye 1080p ,japo kwenye box watakuandikia 1080p na sio 780p. Pili zinakufa sana taa zake, na chip yake ni low quality, ianaharibika mapema,na ndio maana madukani huko zinauzwa kama njugu kwa ajili ya kufanya replacent ya hizo tv, na hizo chip ni universal, yaani mchina anatengeneza tv mbovu na spea ili apige biashara kote koteKwanini!!?Ina maaana zinaharibika mapema!!?na ugonjwa wake ni nini!!?Alitop!
Zikitengenezwa baada ya kuharibika zinadumu!!?au ndio basi tena!Hizo alitop ni 720x1280 hivyo zina pixel ndogo, haikupi real hd kama yenye 1080p ,japo kwenye box watakuandikia 1080p na sio 780p. Pili zinakufa sana taa zake, na chip yake ni low quality, ianaharibika mapema,na ndio maana madukani huko zinauzwa kama njugu kwa ajili ya kufanya replacent ya hizo tv, na hizo chip ni universal, yaani mchina anatengeneza tv mbovu na spea ili apige biashara kote kote
Nina inch 55 Alitop!vipi nitarajie sarakasi Kila siku!!?Hizo alitop ni 720x1280 hivyo zina pixel ndogo, haikupi real hd kama yenye 1080p ,japo kwenye box watakuandikia 1080p na sio 780p. Pili zinakufa sana taa zake, na chip yake ni low quality, ianaharibika mapema,na ndio maana madukani huko zinauzwa kama njugu kwa ajili ya kufanya replacent ya hizo tv, na hizo chip ni universal, yaani mchina anatengeneza tv mbovu na spea ili apige biashara kote kote
Ukikutana na kitu cha toshiba,philips au panasonic ukaziweka pamoja ndio utajua tofauti ya vits na Wv golfNina inch 55 Alitop!vipi nitarajie sarakasi Kila siku!!?
Hizo zote ulizotaja sio kwa Samsung labda iwe Samsungu!!Tv siku zote inaanza LG hata bei zake mkasi sana inafata samsung sony hisense tcl bruhm skyworth panasonic pintechstarx na ndugu zake wengne ila kwa specification unazozitaka hapo juu andaa budget ya 450k minimum na ukihitaji tv usisite 0743586474 napatkana kkoo
Kwanini?Mimi ningenunua TCL ambayo sio smart. Smart TV ni gimmick tu.
Nataka nivute TCL 32 Smart/Android TVMimi ningenunua TCL ambayo sio smart. Smart TV ni gimmick tu.