Ni TV gani Bora Kati ya hizi.

Hisense ondoa kwenye hiyo list labda Hisense ambazo siyo smart tv ndiyo nzuri ila usije kununua Hisense smart tv nitakataka na sababu ninazo T con za hizo tv za Hisense zipo kwenye mother board hivyo kufanya kioo chake kuwa uselgess endapo motherboard itakufa
 
Nataka nivute TCL 32 Smart/Android TV

Budget ina range ngapi mkuu?
Sijapitia soko la TV muda ila haizidi 350-400.

Kama unaweza nunua size kubwa ata isiwe smart ila hakikisha ni FHD
 
Basi sie wengine tunatumia mataputapu maana hizo sifa mnazoziongelea huwa siangalii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…