Ni ubatili na ukandamizaji kuwaongezea posho ya Tsh. 130,000 wenye mishahara mikubwa na Tsh. 20,000 wenye mishahara midogo

Wapo walioniendeleza Ila Wana hata miaka kumi hawajapanda vyeo..usione Kila Alie cheo Cha chini ndio stahili yake ..lengo ni realistic...km mtumishi wa chininhana molali huyo wa juu atapiga makelele wee lakini output itakua ndogo.
Kuna miaka watu walikua wanagoma. Ila Kuna kada wakasema wao hawagomi mishahara inawatosha...baada ya miaka miwili impact ikawa inaonekana .ilichukua miaka mitatu serikali kurekebishwa kurudi ktk Hali yake
seems hukijui unachoongea,
watu washapandishwa madaraja kitambo, na mafao/madeni yao washalipwa
 
Inawezekana sijui ...sijakupinga
Ninachofahamu Kuna ambao wamepandishwa na Kuna wengine wanaendelea kupandishwa na Kuna walojaza form za malimbikizo Bado kupata na Kuna waliopata ...sidhani km spidi hiyo ya kupandishwa imekava zaidi ya asikimia 60. Ya wanaostahili.
Kwa ustarabu gap la posho ni kubwa mno kati ya watu wa chini na WA juu.sitapenda wawashushe wa juu Ila ningependa. Wawaongezee wa chini
 
Kwa kifupi acha mvua inyeshe tuone panapovuja, then wafanyie kazi,
 
Sasa kama ni hivyo mkuu, watetezi (wapinzani) wapo kwa ajili ya nini? Au kwa ajili ya matumbo yao wao na familia zao?
Wapinzani si watetezi watetezi ni wananchi wenyewe, mbona kila siku mahakama zinalalamika kwa watu kutokwenda mahakamani kutoa ushahidi.
Watanzania tunashindwa kwa kuamini eti wapinzani ni watetezi, nchi zote wananchi bila kujali itikadi huingia mitaani kudai haki zao ndiyo maana wanasonga mbele.
 
Kawaida mzee haiwezekani kuwa sawa kama vidole tu
 
Wapinzani si watetezi watetezi ni wananchi wenyewe, mbona kila siku mahakama zinalalamika kwa watu kutokwenda mahakamani kutoa ushahidi.
Watanzania tunashindwa kwa kuamini eti wapinzani ni watetezi, nchi zote wananchi bila kujali itikadi huingia mitaani kudai haki zao ndiyo maana wanasonga mbele.
Ok nimekuelewa mkuu.
 
Wasalaam.

Katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.

Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa na kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo.

Katika awamu ya sita chini ya mama Mamia ameongeza kima cha chini kutoka 80 mpaka 100,000 na kima cha juu kutoka 120,000 mpaka 250,000 tofauti badala ya kupungua imepanda 130,000

Ukichunguza hivyo viwango unaona Serikali ya awamu ya 6 imeamua kufanya ukatili mkubwa kwa Watumishi wa Umma walio wengi na kuwaneemesha wachache wenye mishahara mikubwa, yaani mwenye nacho anaongezewa na asie nacho ananyonywa damu.

Inashangaza mwenye mshahara mdogo anaongezwa 20,000 na yule mwenye mshahara mnono anaongezwa 130,000 huu ni ubatili na ukandamizaji.

Hitimisho
Mtumishi wa Umma au raia anaeshangilia usanii na udhalimu huu akapimwe akili.
Si mlisema Mama anaupiga mwingi Hadi unamwagika acha aupige mwingi
 
Mshahara kima Cha chini nyongeza 23% wakati posho ambazo mara nyingi zinawahusu wakubwa zimepandishwa kwa zaidi ya 100% .jambo hili ni dhihaka kwa watumishi wa ngazi za chini.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ila serikalini kila kitu wanaangalia salary grade, kwenye taasisi za kueleweka posho za kujikimu hasa hizi za safari zipo sawa kuanzia Dereva mpaka wale kina "top manyota", kwa sababu tayari wameshatofautiana mishahara kutokana na elimu na uzoefu na mambo mengine, sasa kuna sababu gani na kwenye posho za safari kuwatenganisha wakati ugumu wa maisha wa ugenin wote wanaupata sawa. Ajabu dereva anakabidhiwa VIETEE alafu anapewa 80,000 na anafikia sehemu ya hovyo
 
Back
Top Bottom