seems hukijui unachoongea,Wapo walioniendeleza Ila Wana hata miaka kumi hawajapanda vyeo..usione Kila Alie cheo Cha chini ndio stahili yake ..lengo ni realistic...km mtumishi wa chininhana molali huyo wa juu atapiga makelele wee lakini output itakua ndogo.
Kuna miaka watu walikua wanagoma. Ila Kuna kada wakasema wao hawagomi mishahara inawatosha...baada ya miaka miwili impact ikawa inaonekana .ilichukua miaka mitatu serikali kurekebishwa kurudi ktk Hali yake
Inawezekana sijui ...sijakupingaseems hukijui unachoongea,
watu washapandishwa madaraja kitambo, na mafao/madeni yao washalipwa
Kwa kifupi acha mvua inyeshe tuone panapovuja, then wafanyie kazi,Inawezekana sijui ...sijakupinga
Ninachofahamu Kuna ambao wamepandishwa na Kuna wengine wanaendelea kupandishwa na Kuna walojaza form za malimbikizo Bado kupata na Kuna waliopata ...sidhani km spidi hiyo ya kupandishwa imekava zaidi ya asikimia 60. Ya wanaostahili.
Kwa ustarabu gap la posho ni kubwa mno kati ya watu wa chini na WA juu.sitapenda wawashushe wa juu Ila ningependa. Wawaongezee wa chini
Wapinzani si watetezi watetezi ni wananchi wenyewe, mbona kila siku mahakama zinalalamika kwa watu kutokwenda mahakamani kutoa ushahidi.Sasa kama ni hivyo mkuu, watetezi (wapinzani) wapo kwa ajili ya nini? Au kwa ajili ya matumbo yao wao na familia zao?
Ok nimekuelewa mkuu.Wapinzani si watetezi watetezi ni wananchi wenyewe, mbona kila siku mahakama zinalalamika kwa watu kutokwenda mahakamani kutoa ushahidi.
Watanzania tunashindwa kwa kuamini eti wapinzani ni watetezi, nchi zote wananchi bila kujali itikadi huingia mitaani kudai haki zao ndiyo maana wanasonga mbele.
Si mlisema Mama anaupiga mwingi Hadi unamwagika acha aupige mwingiWasalaam.
Katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.
Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa na kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
Katika awamu ya sita chini ya mama Mamia ameongeza kima cha chini kutoka 80 mpaka 100,000 na kima cha juu kutoka 120,000 mpaka 250,000 tofauti badala ya kupungua imepanda 130,000
Ukichunguza hivyo viwango unaona Serikali ya awamu ya 6 imeamua kufanya ukatili mkubwa kwa Watumishi wa Umma walio wengi na kuwaneemesha wachache wenye mishahara mikubwa, yaani mwenye nacho anaongezewa na asie nacho ananyonywa damu.
Inashangaza mwenye mshahara mdogo anaongezwa 20,000 na yule mwenye mshahara mnono anaongezwa 130,000 huu ni ubatili na ukandamizaji.
Hitimisho
Mtumishi wa Umma au raia anaeshangilia usanii na udhalimu huu akapimwe akili.
Mshahara kima Cha chini nyongeza 23% wakati posho ambazo mara nyingi zinawahusu wakubwa zimepandishwa kwa zaidi ya 100% .jambo hili ni dhihaka kwa watumishi wa ngazi za chini.Wasalaam.
Katika Serikali ya awamu ya 4 chini ya Jakaya Kikwete posho ya kujikimu safarini kima cha chini ilikua elfu 80 na cha juu ilikua 120,000 tofauti ilikua elfu 50.
Katika awamu ya tano chini ya Magufuli yeye hakuongeza wala hakupunguza aliacha kama ilivyo japo alitamani kuzifuta kabisa na kuzipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
Katika awamu ya sita chini ya mama Mamia ameongeza kima cha chini kutoka 80 mpaka 100,000 na kima cha juu kutoka 120,000 mpaka 250,000 tofauti badala ya kupungua imepanda 130,000
Ukichunguza hivyo viwango unaona Serikali ya awamu ya 6 imeamua kufanya ukatili mkubwa kwa Watumishi wa Umma walio wengi na kuwaneemesha wachache wenye mishahara mikubwa, yaani mwenye nacho anaongezewa na asie nacho ananyonywa damu.
Inashangaza mwenye mshahara mdogo anaongezwa 20,000 na yule mwenye mshahara mnono anaongezwa 130,000 huu ni ubatili na ukandamizaji.
Hitimisho
Mtumishi wa Umma au raia anaeshangilia usanii na udhalimu huu akapimwe akili.
Watu wamejipakulia minyamaImeandikwa: Mwenye nacho ataongezewa.