NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Natoa kongolee kwa Dar Young African sc, hakika mmetuheshimisha mashabiki wenu na hatuna Cha kuwadai.
Tuzo mlizozitwaa kwenye michuano ya kombe la shirikisho Kama kiatu Cha ufungaji Bora na Diara kuchukua tuzo ya man of the match pamoja na kikosi kuvaa medali.
Hakika tuzo hizo ni sabuni za Roho kwa mashabiki wa Yanga na zimetusafisha sana Tena sana.
Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA nitakua wa kwanza kuja kuwapokea Dodoma mtakapokuja bungeni kupewa pongezi na waheshimiwa wabunge.
Ubongo wenye funza (mafunye) ndiyo utasema yanga ni dhaifu wakati kwenye kabati hakuna kombe la mapinduzi, hakuna kombe la Nbcpl hakuna FA.
Vimba mwananchi vimba Tena vimba hakika Yanga sc ni Mashujaa.