Ni ubongo uliojaa funza (mafunye) tu ndiyo unaweza kushupaza shingo kuwa Yanga ni Dhaifu

Ni ubongo uliojaa funza (mafunye) tu ndiyo unaweza kushupaza shingo kuwa Yanga ni Dhaifu

Malengo ya Simba yalikua ni Yapi??

Na wamefika wapi ??
Malengo ya Simba yalikuwa kucheza Champions league na kufika semi fainali wakatolewa kwa penalti kwenye robofainali na timu inayocheza fainali Wydad Casablanca ambao ni mabingwa watetezi wa Klabu bingwa.
 
Natoa kongolee kwa Dar Young African sc, hakika mmetuheshimisha mashabiki wenu na hatuna Cha kuwadai.

Tuzo mlizozitwaa kwenye michuano ya kombe la shirikisho Kama kiatu Cha ufungaji Bora na Diara kuchukua tuzo ya man of the match pamoja na kikosi kuvaa medali.

Hakika tuzo hizo ni sabuni za Roho kwa mashabiki wa Yanga na zimetusafisha sana Tena sana.

Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA nitakua wa kwanza kuja kuwapokea Dodoma mtakapokuja bungeni kupewa pongezi na waheshimiwa wabunge.

Ubongo wenye funza (mafunye) ndiyo utasema yanga ni dhaifu wakati kwenye kabati hakuna kombe la mapinduzi, hakuna kombe la Nbcpl hakuna FA.

Vimba mwananchi vimba Tena vimba hakika Yanga sc ni Mashujaa.
Utakufa kwa ujinga wewe.Tulia.
 
Kwani haukuliona?
Chukua hiyo
1685969500985.jpg
 
Akili za wabongo wengi ziko limited kwenye simba na yanga.

Sikushangai mleta mada na huu ulimbukeni wako. Hongera sana kwa upuuzi.
 
Akili za wabongo wengi ziko limited kwenye simba na yanga.

Sikushangai mleta mada na huu ulimbukeni wako. Hongera sana kwa upuuzi.
Shukurani pia kwa umbumbumbu wako na upumbavu uliojaa kichwani [emoji41]
 
Back
Top Bottom