Ni ubongo uliojaa funza (mafunye) tu ndiyo unaweza kushupaza shingo kuwa Yanga ni Dhaifu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Natoa kongolee kwa Dar Young African sc, hakika mmetuheshimisha mashabiki wenu na hatuna Cha kuwadai.

Tuzo mlizozitwaa kwenye michuano ya kombe la shirikisho Kama kiatu Cha ufungaji Bora na Diara kuchukua tuzo ya man of the match pamoja na kikosi kuvaa medali.

Hakika tuzo hizo ni sabuni za Roho kwa mashabiki wa Yanga na zimetusafisha sana Tena sana.

Kwa moyo mkunjufu NALIA NGWENA nitakua wa kwanza kuja kuwapokea Dodoma mtakapokuja bungeni kupewa pongezi na waheshimiwa wabunge.

Ubongo wenye funza (mafunye) ndiyo utasema yanga ni dhaifu wakati kwenye kabati hakuna kombe la mapinduzi, hakuna kombe la Nbcpl hakuna FA.

Vimba mwananchi vimba Tena vimba hakika Yanga sc ni Mashujaa.
 
Utopolo mnaiwaza mnyama sio level zenu, kugonga mgongwe nyie harafu lawama mpeleke kwa Simba sukari yao
 
Mambo ya Simba na yanga ndo mambo ambayo watawala wapenda kuona yakishika bongo wa watawaliwa
 
Yanga Bungeni wanaenda kufanya nn? Hao wabunge wasichezee huo mjengo khaah
 


Jitahidi utatue matatizo yako, na uwe na mda wa kufanya kazi na kupumzika.
 
Yanga ni dhaifu tena sana.
Champions alikutana na Al hilal ya Ibenge yenye washambuliaji butu mwendo ukaisha hapo sikwambii Wydad,Al ahly au Raja ingekuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…