@Moderator hawawezi kufuta huu uziiNoted: tutarudi kwenye uzi wako baada ya dakika 90 tunaomba tu uzi wako usifutwe.
Ongezea na namungo na azamu iliyowatoa kwenye reliKMC au Ihefu ni timu kongwe kuliko Marumo
Kuwa na akili basi kidogo, ningezitaja hizo haudhani hoja yangu isingekuwa rahisi kueleweka? Ngoja basi niitaje Manchester City kabisa au Mamelodi Sundowns ni kongwe kuliko Marumo. SMH.Ongezea na namungo na azamu iliyowatoa kwenye reli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Pole sana kwa kupaniki ila huu ndiyo muda thabiti wa wewe kuwa mzalendo ukaishangilie yanga.Kuwa na akili basi kidogo, ningezitaja hizo haudhani hoja yangu isingekuwa rahisi kueleweka? Ngoja basi niitaje Manchester City kabisa au Mamelodi Sundowns ni kongwe kuliko Marumo. SMH.
Kashaona yajayo [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] umerudisha jina lako
I save your comment [emoji41]Subili Marumo wawakande Kifo cha mende ndo mtajua
Pamoja sana mkuu.
Umeandika fact sana japokua umeandika kwa hisia na majonzi sana, pole sana Ila nakushauri njoo Yanga tule bata.Napenda kusema tanzania hakuna wachambuzi WA Mpira .kwanza hata wachezaji WA Africa na timu shiriki hata hawazijui Hadi pale timu itakapo kutana na timu za tanzania ndio hao mbio mbio kwenda kusoma google na kuja kuleta kama takwimu
Hiyo marumo gallant ni prison ya south Africa ni timu ya kukamia tu
Sitoshangaa kama wakidundwa goli tatu na magodoro fc
Magodoro fc msimu huu wameokota pochi wadau ,tuacheni utani
Kimasihara wanaenda fainali hawa mbuzi
Vipi kwa Mkapa?
Huku ni bomba tu goli mbili kwa mtungi siyo haba mzee tukienda kwao tukiwafunga goli moja inatosha.Vipi kwa Mkapa?
Na amekipata kweli kweli saiz anauguliaHata muongee lugha gani kipigo kipo pale pale.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ana hali mbaya huko anapumulia mashine.Na amekipata kweli kweli saiz anaugulia
Kimeeleweka"Mfa maji aishi kutapatapa" hayo ni maneno machache yenye maana kubwa sana.
Nimewatazama vizuri sana marumo Fc, kwa kweli Wana mpira wakawaida tu Tena mpira unaochezwa na Yanga ni Bora zaidi kuliko wao Marumo.
Marumo Wanapambwa na wachambuzi wasiojua mpira na kufanya waonekane wao ni Bora sana kuliko Yanga.
Gemu ya Marumo waliyocheza na Mamelod walipoteza kwa Goli mbili kwa sifuri, Tena mamelod hawakuchezesha wachezaji wao waandamizi ndani ya timu na huo ndio umekua mchezo wa mamelod kupumnzisha wachezaji.
Marumo fc, wameshashuka daraja kilichobaki ni kukamilisha ratiba tu katika ligi yao huko ya south Africa.
Laiti Kama marumo wangewafunga mamelod ingekuwa ni habari kubwa sana, na hiyo ingetumika na kila mchambuzi wa Tanzania kuwatisha yanga.
Yanga Ina nafasi kubwa sana ya kushinda na kufika fainali kutokana na kikosi kilichopo chenye ubora.
Wachambuzi wasiojua mpira (hawana statistics) sijui huwa wanapata wapi nguvu ya kusifia timu utasema ni Barcelona au Real Madrid.
Endeleeni kusifia timu na kuacha kutazama au kuukubali ubora wa Yanga kwa kuwa tu, timu yenu pendwa imepigwa na imetolewa kwenye michuano ya kimataifa.
YANGA IS UNSTOPPABLE NA ITACHUKUA KOMBE LA CAF CONFIDERATION
Makolo wamepotea wote, wametokomea kusikojulikana.Kimeeleweka